PN.gif SALA YA KUWAOMBEA MAPADRE
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰maombi,
Ee Bwana Yesu Kristo. Mkombozi wetu, kwa mapendo na tamaa yako ya kutaka kulinda vema Kanisa lako, ukachagua Mapadri wawe Wachungaji na Viongozi wa roho za watu. Nakuomba sana; ubariki nia na bidii inayowapasa Mapadri wote katika kazi zao. Uwaongezee Utakatifu.. find more
PN.gif Zawadi ya Kipekee kwa mtu
Category ๐Ÿ‘‰taf, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kuna Zawadi moja ya Kipekee ya kumpa mtu ambayo ni. find more
PN.gif Njia Kuu 3 za Kuiishi Huruma ya Mungu
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kuna njia Tatu kuu za Kuiishi Huruma ya Mungu ambazo ni kama ifuatavyo;. find more
PN.gif Mambo muhimu yanayochangia ubora wa maziwa
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Yafuatayo ni mambo muhimu yanayochangia ubora wa maziwa. find more
PN.gif Recent
Category ๐Ÿ‘‰nav, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[include map]]. find more
PN.gif Signed
Category ๐Ÿ‘‰nav, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[include map]]. find more
PN.gif Maoni
Category ๐Ÿ‘‰nav, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[include map]]. find more
PN.gif Website Kwa Wakatoliki | Blog huru ya wakatoliki
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
[[include :irongiant:clone]]. find more
PN.gif Mataifa yaliyotokana na Noa
Category ๐Ÿ‘‰bibhath, Tags ๐Ÿ‘‰biblia hadithi kale mataifa mwanzo noa,
1 Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.. find more
PN.gif Kisa cha Noa na Wanawe
Category ๐Ÿ‘‰bibhath, Tags ๐Ÿ‘‰hadithi kale laana mwanzo noa wazazi,
18 Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani.. find more
PN.gif Sababu za gharika, Gharika na Agano la Mungu Na Noa
Category ๐Ÿ‘‰bibhath, Tags ๐Ÿ‘‰agano gharika hadithi kale mungu mwanzo noa,
1 Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,. find more
PN.gif Waliozaliwa kutoka Adamu hadi Noa
Category ๐Ÿ‘‰bibhath, Tags ๐Ÿ‘‰adamu hadithi kale mwanzo noa vizazi,
1 Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;. find more
PN.gif Kaini na Abeli
Category ๐Ÿ‘‰bibhath, Tags ๐Ÿ‘‰abeli hadithi kaini kale mungu mwanzo,
1 Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana.. find more
PN.gif Adamu na Eva Walivyotenda dhambi
Category ๐Ÿ‘‰bibhath, Tags ๐Ÿ‘‰adamu dhambi eva hadithi kale mungu mwanzo,
1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia Eva, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?. find more
PN.gif Siku Sita za Mungu kuumba Dunia
Category ๐Ÿ‘‰bibhath, Tags ๐Ÿ‘‰dunia hadithi kale mungu mwanzo sabato siku,
1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.. find more
PN.gif Tafakari ya Zaburi 127:1-2
Category ๐Ÿ‘‰taf, Tags ๐Ÿ‘‰,
Leo tunatafakari Zaburi ya 127:1-2 kama ifuatavyo;. find more
PN.gif Tafakari ya leo ya Katoliki kuhusu Bikira Maria Mama wa Wakristu Wote
Category ๐Ÿ‘‰taf, Tags ๐Ÿ‘‰,
Leo tunatafakari nafasi ya Bikira Maria kama Mama wa Wakristu Wote. find more
PN.gif Tafakari ya leo ya Katoliki kuhusu Mawazo na Mipango ya Mungu kwa mtu
Category ๐Ÿ‘‰taf, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mungu daima anawaza Mema na Anampangia Mtu Mambo mema.. find more
PN.gif Nafasi ya Mateso katika maisha
Category ๐Ÿ‘‰taf, Tags ๐Ÿ‘‰,
Ni kwa nini tunapata Mateso na shida katika Maisha? Kwa nini Mungu ameruhusu tuteseke?. find more
PN.gif Blog Huru ya Katoliki Ya Kikatoliki
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
. find more
PN.gif Malkia wa Mbingu
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰maombi maria sifa,
. find more
PN.gif Sala ya Malaika w Bwana
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰ibada maombi maria tafakari,
. find more
PN.gif SALA YA MAPENDO
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰ibada tafakari,
. find more
PN.gif SALA YA MATUMAINI
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰ibada tafakari,
. find more
PN.gif SALA YA IMAN
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰ibada tafakari,
. find more
PN.gif Kuomba kifo chema
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰maombi maria watakatifu yesu,
. find more
PN.gif SALA YA KUOMBEA FAMILIA.
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰maombi,
. find more
PN.gif SALA YA IMANI
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰ibada tafakari,
. find more
PN.gif AMRI ZA KANISA
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰tafakari,
[[collapsible show="Onesha jibu" hide="Ficha jibu" hideLocation="both"]]. find more
PN.gif AMRI ZA MUNGU
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰tafakari,
1. NDIMI BWANA MUNGU WAKO, USIABUDU MIUNGU WENGINE.
2. USILITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO.
3. SHIKA KITAKATIFU SIKU YA MUNGU.
4. WAHESHIMU BABA NA MAMA, UPATE MIAKA MINGI NA HERI DUNIANI.
5. USIUE
6. USIZINI
7. USIIBE
8. USISEME UONGO
9. USITAMANI MWANAMKE ASIYE MKE WAKO
10. USITAMANI MALI YA MTU MWINGINE. find more
PN.gif Kanuni ya imani
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰ibada mishale tafakari,
. find more
PN.gif NIA NJEMA
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰ahadi ibada maombi tafakari,
. find more
PN.gif SALA YA JIONI
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰ibada kushukuru shukrani toba,
TUNAKUSHUKURU, EE MUNGU KWA MAPAJI YOTE ULIYOTUJALIA LEO AMINA
BABA YETU……………….. SALAMU MARIA……………….
SALA YA IMANI…….YA MATUMAINI………YA MAPENDO. find more
PN.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TISA
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TISA, JUMAMOSI BAADA YA PASAKA. find more
PN.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NANE
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NANE, IJUMAA BAADA YA PASAKA. find more
PN.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA, ALHAMISI BAADA YA PASAKA. find more
PN.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SITA
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SITA, JUMATANO BAADA YA PASAKA. find more
PN.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TANO
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TANO, JUMANNE BAADA YA PASAKA. find more
PN.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NNE
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NNE, JUMATATU YA PASAKA. find more
PN.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TATU
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TATU, JUMAPILI YA PASAKA. find more
PN.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA PILI
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
Novena hii pia inaweza kusaliwa wakati wowote na katika kipindi chochote cha mwaka lakini inapendekezwa Novena ianzwe katika siku ya Ijumaa.. find more
PN.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA KWANZA
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
Novena hii pia inaweza kusaliwa wakati wowote na katika kipindi chochote cha mwaka lakini inapendekezwa kuwa Novena hii ianzwe katika siku ya Ijumaa.. find more
PN.gif Majitoleo kwa Bikira Maria
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰ibada maombi maria,
(Sala iliyotungwa na Mtk. Aloisi)
Bibi yangu mtukufu Maria, nakuwekea amana ya roho yangu na mwili wangu, nikikuomba uipokee amana yangu, kuitunzia ulinzi mwema ulinzi bora, ninakuaminia na kila neno langu, matumaini na kitulizo na kisongo chote, na masumbuko na uzima na ukomo wa uzima wangu: nitakayo ndiyo unifanyizie kwa maombezi na stahili zako, ili mambo yangu yote yapate kuongoka, yakiwa na kufuata mapenzi yako, pamoja na mapenzi ya Mwanao. Amina.. find more
PN.gif Sala ya Medali ya Mwujiza
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰maombi maria,
. find more
PN.gif Sala kwa Mtakatifu Yuda Thadei
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰ahadi maombi mishale watakatifu,
(Sala hii inaweza kusaliwa kila siku au kama Novena ya siku tisa mfululizo kuomba kitu kilekile)
Mtakatifu Yuda Tadei,/ Mtume Mtakatifu,/ Mtumishi mwaminifu na rafiki wa Yesu./ Jina la yule msaliti aliyemwuza Yesu/ limewafanya wengi wakusahau./ Walakini Kanisa zima linakuheshimu/ na kukuomba kama Msaidizi katika mashaka makubwa,/ na katika mambo yasiyo na matumaini tena./
Uniombee mimi mnyonge./ Ninaomba utumie uwezo ule uliojaliwa/ wa kuleta upesi msaada kwa watu walioukosa./ Unisaidie sasa katika mahitaji yangu,/ ili nipate kitulizo na msaada wa mbinguni/ katika lazima zangu,/ masumbuko na mateso,/ hasa/ (taja shida yako)./ Pia ili niweze kumsifu Mungu nawe na wateule wote milele./
Mtakatifu Yuda Tadei,/ utuombee,/ na uwaombee watu wote wanaokuheshimu na kukuomba msaada./
Baba yetu……. Salamu Maria ……… Atukuzwe ……….. find more
PN.gif Sala kwa Mtakatifu Yosefu
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰maombi watakatifu,
Ee Mlinzi amini wa Jamaa Takatifu, uwakinge watoto wateule wa Yesu Kristo, ee Baba uliyetupenda mno, utuepusha na kilema chochote cha madanganyo na upotevu. Ee kinga yetu mwezaji,utusimamie huko juu mbinguni ulipo, tunaposhindana na wenye nguvu wakaao gizani. Kama vile siku za kale ukamwokoa Mtoto Yesu katika hatari ya kuuawa, na leo hivi, ulikinge Kanisa Takatifu la Mungu katika mitego ya adui, na katika shida yote, mtunze daima kila mmoja wetu, tupate mfano wako, tusaidie kwa msaada wako, kukaa na utakatifu maisha, kufa kifo chema, na kupokelewa mbinguni makao ya raha milele. Amina. find more
PN.gif Sala kwa wenye kuzimia
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰huruma maombi yesu,
Moyo wa Yesu uliozomia, uwahurumie watu wanaokufa X3.. find more
PN.gif Sala kwa Malaika Mlinzi
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰malaika maombi,

Ee Malaika wangu, uliyewekwa na Mungu mwema unilinde, naomba uniongoze leo, unitunze, unisimamie, unishauri. Amina.

.. find more


PN.gif Sala ya Malaika wa Bwana
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰maria sifa tafakari,
Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria, naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Salamu Maria,โ€ฆ.. find more
PN.gif Majitoleo
Category ๐Ÿ‘‰sala, Tags ๐Ÿ‘‰maria nia,
Ee Yesu, kupitia mikono safi ya Bikira Maria, na kwa maungano na sadaka yako kuu, ninakutolea sala, matendo, kazi, masumbuko, na furaha zangu zote za siku hii ya leo, kwa ajili ya nia za Moyo wako Mtakatifu, Ee Yesu ufalme wako utufikie!. find more
page 1 of 3123next »

Pages pages: 3212451 in total