PN.gif UBEBESHAJI WA MICHE YA MIKOROSHO
Category 👉wiki, Tags 👉,
Ubebeshaji miche ya mikorosho ni moja ya mbinu muhimu katika uendelezaji wa zao la korosho kwa sababu ni teknolojia pekee inayohakikisha usahihi wa viwango vya uzalishaji wa aina ya mkorosho uliopandwa.
Kwa kutumia mbegu, huwezi kuwa na uhakika na uzalishaji wa aina ya mbegu ulioitumia kwa sababu kuna uwezekano mkubwa wa mbegu kubadilika tabia na kuwa tofauti na tabia ya mti mama.
Teknolojia ya ubebeshaji inamwezesha mkulima kutabiri mavuno na ubora wa korosho shambani mwake kama ukubwa wa korosho, sura yake, rangi, uzito na sifa zingine kulingana na mti mama.. find more
PN.gif UFUGAJI WA KUKU
Category 👉wiki, Tags 👉,
Kuna njia kuu mbili za ufugaji wa kuku.. find more
PN.gif UFUGAJI BORA NA RAHISI WA KUKU WA KIENYEJI
Category 👉wiki, Tags 👉,
Kuna usemi fulani unatumiwa na watu wengi sana, unasema; “kazi ndio msingi wa maendeleo ya mtu yeyote” .Hata mimi
nakubaliana na usemi huu kwani ni kweli kabisa kazi ndio msingi wa hatua yoyote ya maendeleo ya mtu yeyote chini ya msingi
mkuu ambao ni Mungu. Kinyume chake, asiyefanya kazi (ya kuajiriwa/kujiajiri) basi atabaki kuwa maskini na mtu wa shida ya
kipato, mahusiano mabaya na wanadamu wenzako, kuwa tegemezi nk.. find more
PN.gif MODELS OF EVALUATION AND THEIR ANALYSIS
Category 👉mix, Tags 👉analysis and economic evaluation models of technology their,
Choosing an approach or model for evaluation is an important aspect since for each there are different assumptions about what data to collect, how to collect them and how to make judgments about success or failure. The following major approaches can provide a sufficient choice for most extension evaluation situations.. find more
PN.gif EVALUATING EXTENSION PROGRAMMES
Category 👉mix, Tags 👉economic evaluating extension programmes technology,
Although extension educators, donors and administrators are in favor of evaluating extension programmes, yet the fact remains that most of the people are not enthusiastic to undertake it.. find more
PN.gif Side mix
Category 👉nav, Tags 👉,
#search-top-box { display: none; }
nav.side-bar-wrap{ float: right; }
nav .side-bar{
padding-top: 74px;
font-size: 13px;
color: #999;
}. find more
PN.gif UPENDO WA MUNGU
Category 👉wiki, Tags 👉,
Upendo wa Mungu hauna mipaka, Soma makala Hizi Zifuatazo;. find more
PN.gif sala za kujikinga
Category 👉sala, Tags 👉,
. find more
PN.gif Jinsi ya kuimarisha ndoa zetu
Category 👉wiki, Tags 👉,
Ndoa ni makubaliano kati ya watu wawili wenye jinsia mbili tofauti kuishi pamoja kama mume na mke.. find more
PN.gif Uzalishaji lishe kwa ng’ombe wa maziwa kiasili na kwa gharama nafuu
Category 👉wiki, Tags 👉,
Lishe bora: Ng’ombe hawezi kulaumiwa kwa kushindwa kufanya urutubishaji. Ukosefu wa lishe sahihi husababisha ng’ombe kuwa dhaifu na pia husababisha kutokea kwa magonjwa ambayo huweza kuathiri mfumo wa uzazi.. find more
PN.gif Nyumba ya kulelea Vifaranga
Category 👉wiki, Tags 👉,
Ukipenda kujenga nyumba ya vifaranga itafaa ufi kirie yafuatayo:-
a Nyumba ya vifaranga iwe karibu na nyumba yako mwenyewe ili uweze kuwakagua
vifaranga wako mara kwa mara.
b) Ijengwe hatua 20 au zaidi mbali na nyumba ya kuku wakubwa, hii ni kinga mojawapo
ya kupunguza hatari ya maambukizi ya magonjwa.. find more
PN.gif Upendo wa Yesu
Category 👉wiki, Tags 👉,
. find more
PN.gif Kwa nini Bikira Maria hakuwa anaombwa akiwa hai? Watu na mitume hawakuwa wanasali kumuomba yeye
Category 👉katoliki, Tags 👉,
Bikira Maria hakuwa anaombwa akiwa hai kwa sababu alikua bado hajatukuzwa na kupewa cheo cha Umalkia wa Mbinguni.. find more
PN.gif Kanuni ya Mungu kuhusu mema
Category 👉katoliki, Tags 👉,
Unapoona mtu, jambo, kitu ni chema na kinakupendeza,. find more
PN.gif Madhara ya soda
Category 👉mapishinalishe, Tags 👉,
Soda ni kiburudisho ambacho si muhimu sana kwa afya.. find more
PN.gif Madhara ya kula yai bichi
Category 👉mapishinalishe, Tags 👉,
Yai bichi linaweza kuwa na vijidudu viitwavyo kwa kitaalamu “SALMONELLA” vinavyoweza kusababisha tumbo kuuma, kichefuchefu na pia kuharisha.
Vijidudu ya “Salmonella” vinaweza kusababisha madhara makubwa kwa watoto, wazee na wale wenye hali dhaifu ya kimwili kama wagonjwa wa UKIMWI.. find more
PN.gif Zaburi ya Toba, Zaburi ya 51
Category 👉katoliki, Tags 👉,
Hii ndiyo Sala ya Toba;. find more
PN.gif Unakumbuka hizi Sheria zetu za mpira utotoni?
Category 👉vichekesho, Tags 👉,
1.Mwenye mpira Lazima acheze ata kama hajui mpira
2.Dogo mnene Lazima awe golikipa
3.Mwenye mpira ataamua nan acheze na nan asicheze. find more

Pages pages: 3212451 in total