PN.gif Virusi vya kompyuta (computer virus)
Category ๐Ÿ‘‰sayansinatekinolojia, Tags ๐Ÿ‘‰,
Ni programu haramu yenye uwezo wa kujisambaa ndani ya kompyuta na kujiingiza ndani ya programu halali zinazotakiwa kufanya kazi mle. Ikisambaa inaathiri programu halali na kusababisha hasara. Virusi zinasambaa kwa njia ya intaneti lakini pia kwa njia ya sidii au diski yoyote ya kubebea data kati ya kompyuta. Virusi vinaweza kuharibu mafaili na kupunguza uwezo wa ufanyaji kazi wa kompyuta.. find more
PN.gif Tofauti kati ya yai la kuku wa kienyeji na la kuku wa kisasa
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kilishe mayai yote ni sawa. Virutubishi vinavyopatikana kwenye yai la kuku wa kienyeji kama protini, vitamini A, madini ya chuma na virutubishi vya aina nyingine, ndivyo hivyo vinavyopatikana pia kwenye yai la kuku wa kisasa.. find more
PN.gif Kupima lishe au afya ya mtu
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hiki ni kipimo kinachotumika kuangalia uwiano wa urefu na uzito wa mtu, ni muhimu kuchukua vipimo kwa usahihi.Uwiano wa uzito katika Kilogramu na urefu katika mita hupatikana kwa kutumia kanuni ifuatayo:. find more
PN.gif Virutubishi, kazi zake katika mwili na vyanzo vyake
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
ni viini vilivyoko kwenye chakula ambavyo vinauwezesha mwili kufanya kazi zake, karibu vyakula vyote huwa na kirutubishi zaidi ya kimoja ila hutofautiana kwa kasi na ubora. Kila kirutubishi kina kazi yake mwilini na mara nyingi hutegemeana ili viweze kufanya kazi yake kwa ufanisi. Hakuna chakula kimoja chenye virutubishi vya aina zote isipokuwa maziwa ya mama kwa miezi sita ya mwanzo ya maisha ya mtoto, ni mhimu kula vyakula vya aina mbalimbali ili kuwezesha mwili kupata virutubishi mchanganyiko vinavyohitajika.. find more
PN.gif MAANA YA MANENO YANAYOTUMIKA KATIKA MASUALA YA LISHE
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
ni kitu chochote kinacholiwa au kunywewa na kuupatia mwili virutubishi mbalimbali Chakula huupatia mwili nguvu, kuulinda na kuukinga dhidi ya maradhi mbalimbali .Mfano wa chakula ni ugali, wali, maharagwe, ndizi, viazi, mchicha, nyama, samaki.. find more
PN.gif Usindikaji wa viazi vitamu
Category ๐Ÿ‘‰sayansinatekinolojia, Tags ๐Ÿ‘‰,
1. Husaidia utunzaji na usafirishaji
2. Kupunguza ukubwa wa viazi na upotevu wa viazi kwa sababu viazi uharibika haraka na kama viazi vikiachwa ardhini wadudu (fukuzi) huweza kushambulia
3. Huongeza muda wa kuhifadhika
4. Unga na chipsi vina virutubisho vingi kwa vile kiwango kikubwa cha maji kwenye kiazi kinakuwa kimetolewa kwa hiyo kiwango cha protini, wanga, pectini, mafuta na chumvichumvi huongezeka
5. Huongeza chanzo cha mapato kwa wakulima kama vile upatikanaji wa masoko na chanzo kipya cha kipato 6. Husaidia kusambaza taarifa kwamba viazi vitamu huweza kuwa zao la biashara lenye matumizi mbalimbali na watumiaji wengi. find more
PN.gif UNYONYESHAJI BORA WA MAZIWA YA MAMA
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
โ€ข Maziwa ya mama pekee ndio chakula na kinywaji cha mtoto bora zaidi kwa watoto kwa miezi sita ya kwanza.
โ€ข Ni jambo la muhimu sana kunyonyesha watoto wachanga kwa muda wa miezi minne na uendelee kunyonyesha hadi mtoto atakapofikisha mwaka mmoja na kuendelea.. find more
PN.gif LISHE BORA KWA WATU WENYE AFYA NZURI
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
โ€ข Kula chakula bora kunamaanisha kula vyakula aina tofauti ya vyakula kila siku kama vile matunda, mboga, maziwa na aina ya vyakula vyenye asili ya nyama wa kufuga kama kuku, mbuzi, ngombe, samaki na na vyakula vya nafaka.. find more
PN.gif Mapishi ya Supu Ya Maboga
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
Blue band vijiko vikubwa 2
Maziwa vikombe 2
Royco kijiko kikubwa 1-2
Pilipili manga (unga) kijiko cha 1
Chumvi kiasi Maji lita 2-3
Boga kipande ยฝ
Viazi mviringo 2
Vitunguu 2
Karoti 2
Nyanya 2. find more
PN.gif Mapishi ya mboga ya mnavu
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mnavu mkono 1
Kitungu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Mafuta vijiko viubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe 1
Chumvi kiasi ยฝ. find more
PN.gif Jinsi ya kutengeneza Keki Ya Mbegu Za Mchicha
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
Unga ngano vikombc 3
Unga mbegu za mchicha kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Maziwa kikombe 1
Sukari kikombe 1
Blue band kikombe ยฝ
Mayai 10-12. find more
PN.gif Jinsi ya kupika Mboga Za Majani Makavu (Aina Yoyote)
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mboga za majani makavu ยผ kg
Mafuta vijiko vikubwa 3-4
Karanga zilizosagwa kikombe ยฝ
Maziwa au tui la nazi kikombe 1
Kitunguu 1
Nyanya 2
Chumvi (kama kuna ulazima)
Maji baridi. find more
PN.gif Jinsi ya kupika Keki Ya Maboga
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
Unga wa ngano vikombe vikubwa 3
Boga lililopondwa kikombe 1
Baking powder vijiko vidogo
Sukari kikombe kikubwa 1
Blue band kikombe ยฝ
Vanilla kijiko kidogo 1
Mayai 2
Maji kiasi/ maziwa
(kama nilazima). find more
PN.gif Jinsi ya kupika Mgagani
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mgagani mkono 1
Mafuta vijiko vikubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe ยฝ
Maji kikombe 1
Kitunguu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Chumvi kiasi. find more
PN.gif Jinsi ya kutengeneza juisi ya nyanya
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
Nyanya 1 kg
Maji Iita ยฝ
Chumvi kijiko kidogo 1
Sukari. find more
PN.gif Jinsi ya kupika mboga ya majani ya mashona nguo
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mashonanguo mkono 1
Tui la nazi kikombe 1
Karanga zilizosagwa kikombe ยฝ
Mafuta vijiko vikubwa 4
Kitunguu 1
Nyanya ndogo 2
Chumvi kiasi. find more
PN.gif Jinsi ya kupika Mchuzi Wa Ngogwe Na Bamia
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
Ngogwe ยฝ kg
Kitunguu 2
Bamia ยผ kg
Karoti 2
Mafuta vijiko vikubwa 8
Maji vikombe 3 Mayai 2
Nyanya 2
Chumvi. find more
PN.gif VIPIMO VYA MSINGI VYA KUHAKIKI UBORA WA MAZIWA
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,

Kwa kawaida wakati wa kupima ubora, kiasi kidogo cha maziwa (sampuli) kutoka kwenye kila chombo hupimwa. Maziwa ambayo sampuli yake haikufikia kiwango kinachotakiwa hukataliwa na ni hasara kwa mfugaji. kwa hiyo, ni muhimu kushughulikia na kuhifadhi maziwa kwa kuzingatia kanuni za usafi. Vipimo hivi hufanyika kila wakati maziwa yanapofikishwa katika vituo vya kukusanyia maziwa ili kuhakikisha maziwa bora pekee ndiyo yanayopokelewa. Utaratibu huu wa upimaji maziwa kama unavyofafanuliwa hapo chini utakusaidia kuelewa na kukubali matokeo ya upimaji.. find more


PN.gif Kompyuta
Category ๐Ÿ‘‰sayansinatekinolojia, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kompyuta ni mashine ya elektroniki inayotumika au kushughulika na taarifa, kama unavyotumia kisu na
patasi kwa kuchongea vinyago vya miti, unatumia kompyuta kuandaa nyaraka, barua, michoro n.k. Kimsingi
unaweza kutumia kompyuta kwa kazi mbalimbali. find more
PN.gif Lishe
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
โ€ข Lishe yahusu mafunzo ya chakula na jinsi miili yetu inavyotumia chakula kamakichocheo cha ukuaji, kuzaana na utunzaji wa afya.
โ€ข Lishe inajumuisha mchakato wa utoaji virutubishi vinavyohitajika kwa afya, ukuaji, kuendelea na kuishi.. find more
PN.gif Madhara ya nyama nyekundu kwa mtu mwenye VVU
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
Hizi ni nyama zitokanazo na samaki, kuku, ndege wa aina zote, bata, wadudu. find more
PN.gif Vidokezo vya kukusaidia ule mboga za majani zaidi
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
Pika mboga mpya za majani au zilizogandishwa kwa barafu katika wimbi mikro kwa mlo wa haraka na rahisi kuongeza kwa mlo wowote. Pika maharagwe ya kijani, karoti, au brokoli kwa mvuke katika bakuli na kiwango kidogo cha maji katika wimbi mikro kwa mlo wa haraka.. find more
PN.gif Utayarishaji bora wa chakula
Category ๐Ÿ‘‰mapishinalishe, Tags ๐Ÿ‘‰,
ยท Osha mikono yako kwa sabuni kabla na baada
ya kutayarisha chakula
ยท Tumia vyombo safi na sehemu safi kwa
kutayarisha na kula chakula
ยท Viporo vipashwe moto vizuri kabla ya kula
ยท Chemsha maji ya kunywa na kuyaacha jikoni
dakika kumi baada ya kuchemka. find more
PN.gif JINSI YA KUTUNZA NA KUHIFADHI MAZIWA
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kwa kuwa maziwa yanaharibika haraka yakiachwa kwenye hali ya joto kwa muda mrefu, yanahitaji kuhifadhiwa kwenye baridi mara baada ya kukamuliwa. Baridi hupunguza kasi ya kuongezeka kwa bacteria waharibifu. Kama huna jokofu au chombo cha kupoza maziwa, hifadhi ndani ya chombo chenye maji baridi au zungushia gunia au blanketi bichi, lakini hakikisha kuwa chombo chenye maziwa kimefunikwa vizuri ili uchafu usiingie ndani.
1. Tumia vyombo vya metali na vilivyo safi kuhifadhia maziwa kila wakati.
2. Unapohamisha maziwa kutoka chombo kimoja kwenda chombo kingine, mimina badala ya kuchota. Kuchota kunasababisha kuingiza bakteria waharibifu wa maziwa.
3. Ikiwa unaumwa, usikamue wala usijishughulishe na kazi za maziwa. Pata matibabu hadi hapo daktari atakapokuruhusu kuendelea na shughuli zako.. find more
PN.gif Stori ya lily
Category ๐Ÿ‘‰mahusiano, Tags ๐Ÿ‘‰,
[11:24, 18/02/2015] Grace Ngehula: fungue geti atakuja kukufungulia yeye,
[17:09, 02/02/2015] Lily .CPA: Tumejenga nyumba ya ghorofa basi ile naingia naongea na mlinzi kumbe yuko ghorofan ananiangalia atu mie sikumuona maaan niusiku na amekaa kwenye kono, badae ndio kaka akaniambia umeona anavyokuangalia yule kule juu, ndio nikamuona, alipoona nimemuona tu akarudi ndani
. find more
PN.gif HADITHI: Hii dunia Ina mambo, Soma hii stori, kweli siri haina wawili
Category ๐Ÿ‘‰vichekesho, Tags ๐Ÿ‘‰,
๐Ÿ“ฆSIRI HAINA WAWILI๐Ÿ“ฆ. find more
PN.gif Jumamosi ya kwanza ya mwezi
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kila Jumamosi ya Kwanza ya Mwezi tunaadhimisha nini?. find more
PN.gif MPANGILIO WA KURASA ZA POSTI NA MAKALA
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Makala kuu za Wakatoliki;. find more
PN.gif Mtume Filipo
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Filipo (kwa Kigiriki ฮฆฮฏฮปฮนฯ€ฯ€ฮฟฯ‚, Philippos) ni jina la mfuasi wa Yesu Kristo anayeshika nafasi ya tano katika orodha zote nne za Mitume wa Yesu katika Agano Jipya.. find more
PN.gif Mtume Yohane
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Yohane mwana wa Zebedayo alikuwa mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu, ambaye alipendwa na mwalimu wao kuliko wenzake wote.. find more
PN.gif Yakobo Mkubwa
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Yakobo, mwana wa Zebedayo na Salome, na kaka wa Mtume Yohane, alikuwa Myahudi wa karne ya 1 aliyepata kuwa mmoja kati ya Mitume wa Yesu muhimu zaidi.. find more
PN.gif Mtume Bartolomayo
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Bartolomayo (kwa Kigiriki ฮ’ฮฑฯฮธฮฟฮปฮฟฮผฮฑฮนฮฟฯ‚) alikuwa Myahudi wa karne ya 1, mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu kadiri ya Injili Ndugu.. find more
PN.gif Mtume Thoma
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Thoma au Didimo, yaani Pacha alikuwa Myahudi wa karne ya 1, mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu anayeheshimiwa kama mtakatifu, kwa namna ya pekee na Wakristo wa maeneo yaliyokuwa mashariki kwa Dola la Roma, kuanzia Iraq hadi India.. find more
PN.gif Mtakatifu Mathayo Mtume
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mathayo (kwa Kiebrania ืžึทืชึดึผืชึฐื™ึธื”ื•ึผ, Mattityahu au ืžืชื™, Mattay, Zawadi ya Mungu; kwa Kigiriki ฮœฮฑฯ„ฮธฮฑแฟ–ฮฟฯ‚, Matthaios) alikuwa Myahudi wa karne ya 1, mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu anayeheshimiwa hasa kutokana na Injili yenye jina lake. Labda aliitwa pia Lawi.. find more
PN.gif Yakobo Mdogo
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Yakobo Mdogo ni jina la mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu. Anaitwa hivyo ili kumtofautisha na mtume mwenzake, Yakobo wa Zebedayo.. find more
PN.gif Mtume Simoni Mkananayo
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Simoni Mkananayo alikuwa mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu.. find more
PN.gif Yuda Tadei
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Yuda Tadei ni jina la mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu, ambalo Injili zinajitahidi kumtofautisha na Yuda Iskarioti, msaliti wa Yesu.. find more
PN.gif Yuda Iskarioti
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Yuda Iskarioti (kwa Kiebrania ื™ื”ื•ื“ื” ืื™ืฉึพืงืจื™ื•ืช), Myahudi wa karne ya 1, alikuwa mmojawapo wa Mitume wa Yesu, maarufu kwa kuwa alimsaliti mwalimu wake apate vipande thelathini vya fedha (Injili ya Mathayo 26:14-16).. find more
PN.gif Mtume aliyechaguliwa na Mitume badala ya Yuda iskarioti
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Alikua ni Mtume Mathia. find more
PN.gif Mtakatifu Andrea Mtume
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
alikuwa Myahudi wa karne ya 1, mmoja kati ya wawili wa kwanza kati ya Mitume wa Yesu.. find more
PN.gif Mtakatifu Petro Mtume
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Petro alikuwa Myahudi wa karne ya 1, mfuasi wa Yesu Kristo, tena kati ya wandani wake.. find more
PN.gif Mtakatifu Maria Magdalena
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kadiri ya Injili, baada ya kushuhudia kifo cha Yesu na mazishi yake (Mk 15:40-16:1; Math 27:56-28:1; Yoh 19:25), upendo na juhudi vilimfanya mwanamke huyo awahi kwenye kaburi lake alfajiri ya siku ya Jumapili. Huko alitokewa na malaika na kuambiwa amefufuka.. find more
PN.gif Mafundisho (Dogma) ya Kanisa Katoliki kuhusu Bikira Maria
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,

Kuna mafundisho makuu manne kumhusu Bikira Maria ambayo ni lazima kila Mkatoliki ayasadiki kutokana na ufunuo wa Mungu: 1. B. Maria mkingiwa dhambi ya asili 2. B. Maria Mama wa Mungu 3. B. Maria Bikira daima 4. B. Maria kupalizwa mbinguni mwili na roho. find more


PN.gif Heshima za Liturujia ya Kiroma kwa Maria
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Kuna ibada za Mama Bikira Maria zinazoadhimishwa katika liturujia ya Kiroma. Hapa zimepangwa kulingana na heshima zinavyozidiana:. find more
PN.gif Bikira Maria Katika dini ya Kiislamu
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰bikira_maria kiislamu,
Kurani inamtaja mwanamke mmoja tu, tena mara 34: ni Mariamu, mama wa nabii Isa. Akichanganywa na dada wa Haruni na Musa, aliyekuwa na jina hilohilo, anatajwa kama binti Imrani. Pia habari nyingine kadhaa zinapishana na zile za Injili.. find more
PN.gif Jinsi Biblia inavyomueleza Bikira Maria
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰biblia bikira_maria,
Biblia inafundisha hivi,. find more
PN.gif Maana ya jina Bikira Maria
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰bikira_maria,
Jina asili kwa Kiaramu ni ืžืจื™ื, Maryฤm lenye maana ya "Bibi"; watafsiri wa kwanza wa Biblia ya Kiebrania wanaojulikana kama Septuaginta (LXX) waliliacha kama lilivyo wakiandika kwa Kigiriki ฮœฮฑฯฮฏฮฑฮผ, Mariam, au walilifupisha wakiandika ฮœฮฑฯฮฏฮฑ, Maria.. find more
PN.gif Makala mpya kwa sasa
Category ๐Ÿ‘‰katoliki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Makala Mpya ni kama ifuatavyo,. find more
PN.gif UZALISHAJI BORA WA MAZIWA
Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰,
Mnyama aliyelishwa vizuri na kupata maji ya kutosha huzalisha maziwa mengi yenye virutubisho vya kutosha. Iwapo ngโ€™ombe atalishwa majani kidogo na chakula chenye wanga kwa wingi, kiasi cha Mafuta kwenye maziwa kinaweza kushuka chini ya asilimia 2.5. Hivyo, uwiano mzuri wa majani na chakula cha ziada ni muhimu. Unaweza kumlisha ngโ€™ombe chakula cha ziada lakini hakikisha kuna uwiano mzuri. Usimlishe ngโ€™ombe wakati wa kukamua au muda mfupi kabla ya kukamua kwa vile yatachukua ladha ya silaji. Inashauriwa kuwa ngโ€™ombe apewe silaji saa mbili kabla ya kukamuliwa.. find more
page 1 of 7123...67next »

Pages pages: 3212451 in total