.

IMG_20170703_130425.jpg

"Uzuri wa kitu huvutia MACHO lakini ubora wa kitu huuteka MOYO daima. Uzuri haudumu.."

.

.

IMG_20180109_191129.jpg

"Huwezi kupata maendeleo kwa kusitasita na kuogopaogopa. Hata kobe anayesonga mbele ni yule anayetoa kichwa chake kwenye gamba/nyumba yake."

.

.

images-15.jpeg

"Hakuna uwezo bila fursa. Huwezi kusema unauwezo wa kitu kama hauna fursa ya kukifanya.."

.

.

IMG_20180108_172912.jpg

"Kitu chochote kinapofanywa vizuri mwanzoni ni sawa na kimefanywa nusu tayari.,"

.