Aangukaye kwao fuvu huwa safi

By, Melkisedeck Shine.

[methali]

Aangukaye kwao fuvu huwa safi

MAANA: Anayepata matatizo akiwa kwao au akiwa na ndugu zake madhara ya Matatizo yake hayajionyeshi sana.
Kwa sababu ndugu zake watampa msaada

👉ackyshine.com/methali-na-vitendawili


.

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
KADI-TUKUTANE-MZAZI.JPG
afya-mapishi-na-lishe.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.