MASOMO YA MISA, MEI 15, 2019 JUMATANO: JUMA LA 4 LA PASAKA

Tumsifu Yesu Kristu…

Karibu tena katika Website yako uipendayo ya Wakatoliki yenye mambo mengi kuhusu Imani na Mafundisho ya Kikatoliki. Kama una wasiwasi kuhusu Imani ya Kanisa Katoliki nimekuandalia makala maalumu ya kukufunulia Ukweli hapa>>.

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandikia makala nzuri inayopendwa kuhusu; Heshima za Liturujia ya Kiroma kwa Maria, kwa sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

MASOMO YA MISA, MEI 15, 2019 JUMATANO: JUMA LA 4 LA PASAKA.

Unaweza pia kupokea makala zote mpya zinazopostiwa hapa kwenye email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo.

Endelea kuelimika na kubarikiwa kila siku unapotembelea tovuti hii.

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Je, ekaristi ni kafara (sadaka)?

MASOMO YA MISA, MEI 15, 2019 JUMATANO: JUMA LA 4 LA PASAKA

By, Melkisedeck Shine.

SOMO 1

Mdo. 12:24-13:5

Siku zile, Neno la Bwana likazidi na kuenea. Na Barnaba na Sauli, walipokwisha kutimiza huduma yao, wakarejea kutoka Yerusalemu, wakamchukua pamoja nao Yohane aitwaye Marko.

Na huko Antiokia katika kanisa lililokuwako palikuwa na manabii na waalimu, nao ni Barnaba, na Simeoni aitwaye Nigeri, na Lukio Mkirene, na Manaeni aliyekuwa ndugu wa kunyonya wa mfalme Herode, na Sauli. Basi hawa walipokuwa wakimfanyia Bwana ibada na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, Nitengeeni Barnaba na Sauli kwa kazi ile niliyowaitia. Ndipo wakiisha kufunga na kuomba, wakaweka mikono yao juu yao, wakawaacha waende zao.

Basi watu hao, wakiisha kupelekwa na Roho Mtakatifu wakatelemkia Seleukia, na kutoka huko wakasafiri baharini hata Kipro. Na walipokuwa katika Salami waklihubiri neno la Mungu katika masinagogi ya Wayahudi.

Neno la Bwana… Tumshukuru Mungu.

WIMBO WA KATIKATI

Zab. 67:1-2, 4, 5, 7 (K) 3

(K) Watu na wakushukuru, Ee Mungu, Watu wote na wakushukuru.

Au Aleluya.

Mungu na atufadhili na kutubariki,

Na kutuangazia uso wake.

Njia yake ijulikane duniani,

Wokovu wake katikati ya mataifa yote. (K)

Mataifa na washangilie,

Naam, waimbe kwa furaha,

Maana kwa haki utawahukumu watu,

Na kuwaongoza mataifa walioko duniani. (K)

Watu na wakushukuru, Ee Mungu,

Watu wote na wakushukuru.

Mungu atatubariki sisi;

Miisho yote ya dunia itamcha Yeye. (K)

SHANGILIO

Yn. 10:14

Aleluya, aleluya,

Mimi ndimi mchungaji mwema,

Nao walio wangu nawajua, nao walio wangu wanijua mimi.

Aleluya.

INJILI

Yn. 12:44-50

Siku ile Yesu alipaza sauti, Yeye aniaminiye mimi, haniamini mimi bali yeye aliyenipeleka. Naye anitazamaye mimi amtazama yeye aliyenipeleka. Mimi nimekuja ili niwe nuru ya ulimwengu, ili kila mtu aniaminiye mimi asikae gizani. Na mtu akiyasikia maneno yangu, asiyashike, mimi simhukumu; maana sikuja ili niuhukumu ulimwengu, ila niuokoe ulimwengu. Yeyey anikataaye mimi, asiyeyakubali maneno yangu, anaye amhukumu siku ya mwisho. Kwa sababu mimi sikunena kwa nafsi yangu tu; bali Baba aliyenipeleka, yeye mwenyewe ameniagiza nitakayonena na nitakayosema. Nami najua ya kuwa agizo lake ni uzima wa milele; basi hayo ninenayo mimi, kama Baba alivyoniambia, ndivyo ninenavyo.

Neno la Bwana… Sifa kwako Ee Kristo

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; MASOMO YA MISA, MEI 15, 2019 JUMATANO: JUMA LA 4 LA PASAKA. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya MASOMO YA MISA, MEI 15, 2019 JUMATANO: JUMA LA 4 LA PASAKA, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

β€’ Kujikabidhi Kwa Yesu Kristu Yeye Aliye Mwangaza Wa Maisha, isome hapa

β€’ Mahusiano yanayopelekea Ndoa Takatifu, isome hapa

β€’ Maswali na majibu kuhusu Ibada, isome hapa

β€’ Mungu Anatuita Na Kutupa Nafasi Ya Kutubu Na Kumrudia Yeye Ili Atusamehe na Kutubariki, isome hapa

β€’ Tafakari Kuhusu Matumizi Ya Mali, isome hapa

β€’ Ahadi 15 za Rozari Takatifu, isome hapa

β€’ Imani ni cheti cha Kuweza kupata yote, isome hapa

β€’ TAFAKARI YA MAISHA: Vile unavyobariki, ndivyo unavyobarikiwa, isome hapa

β€’ Maana ya Kuabudu kwa Mkatoliki, isome hapa

β€’ Jifunze kitu Kwenye mfano huu kuhusu Maombi na kuomba, isome hapa

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Mungu daima ni Mwaminifu na mwenye Huruma. Kinachotakiwa ni kuamini kwamba kipo na kitakuwepo. Kusadiki kwamba kitafanyika na kitafanyika. Hii ndiyo Siri ya Imani."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; MASOMO YA MISA, MEI 15, 2019 JUMATANO: JUMA LA 4 LA PASAKA, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Nipeleke Mbinguni Maria
[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Kwa Neema ya Mungu
Mtakatifu-Anna.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Anna.
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Anna hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

IMG_20180109_192602.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Uhuru na Amani ya Moyoni. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!