MASOMO YA MISA, JUMATATU, SEPTEMBA 16, 2019 JUMA LA 24 LA MWAKA

By, Melkisedeck Shine.

MWEZI%20WA%20ROZARI%20YA%20BIKIRA%20MARIA.png

MASOMO YA MISA, JUMATATU, SEPTEMBA 16, 2019 JUMA LA 24 LA MWAKA

SOMO I

1 Tim 2: 1-8

Kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu, ambaye hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kweli. Kwa sababu, Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na mwanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu, ambaye alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote, utakaoshuhudiwa kwa majira yake. Nami kwa ajili ya huo naliwekwa niwe mhubiri na mtume, (nasema kweli, sisemi uongo), mwalimu wa Mataifa katika imani na kweli. Basi, nataka wanaume wasalishe kila mahali, huku wakiinua mikono iliyotakata pasipo hasira wala majadiliano.

Neno la Bwana…Tumshukuru Mungu

WIMBO WA KATIKATI

Zab. 28: 2, 7-9

(K.) Na ahimidiwe Bwana,

maana ameisikia sauti ya dua yangu.

Uisikie sauti ya dua yangu
nikuombapo,
nikipainulia mikono yangu
patakatifu pako. (K.)

Bwana ni nguvu zangu na ngao yangu
moyo wangu umemtumaini
nami nimesaidiwa; basi, moyo wangu unashangilia,
na kwa wimbo wangu nitamshukuru. (K.)

Bwana ni nguvu za watu wake,
naye ni ngome ya wokuvu kwa masiya wake.
Uwaokoe watu wako, uubariki urithi wako,
Uwachunge, uwachukue mileke. (K.)

SHANGILIO

Yn. 3: 16

Aleluya, aleluya,
Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu,
hata akamtoa Mwanawe pekee,
ili kila mtu amwaminiye asipotee,
bali awe na uzima wa milele.
Aleluya.

INJILI

Lk. 7: 1-10

Yesu alipokwisha kuyamaliza maneno yake yote masikioni kwa watu, aliingia Kapernaumu. Na mtumwa wake akida mmoja alikuwa hawezi, karibu na kufa; naye ni mtu aliyempenda sana. Aliposikia habari za Yesu, alituma wazee wa Wayahudi kwake kumwomba aje amponye mtumwa wake. Nao walipofika kwa Yesu, walimsihi sana wakisema, Amestahili huyu umtendee neno hili; maana, analipenda taifa letu, naye alitujengea sinagogi. Basi Yesu akaenda pamoja nao.

Hata alipokuwa si mbali na nyumba yake, yule akida alituma rafiki kwake, akamwambia, Bwana, usijisumbue, maana mimi sistahili wewe uingie chini ya dari yangu; kwa hiyo nilijiona sistahili mwenyewe kuja kwako; lakini, sema neno tu, na mtumwa wangu atapona. Kwa maana mimi nami ni mtu niliyewekwa chini ya mamlaka, mwenye askari chini yangu; nikimwambia huyu, Nenda, huenda; na huyu, Njoo, huja; na mtumwa wangu, Fanya hivi, kufanya. Yesu aliposikia hayo alimstaajabia, akaugeukia mkutano uliokuwa ukimfuata, akasema, Nawaambia, hata katika Israeli sijaona Imani kubwa namna hii. Na wale waliotumwa waliporudi nyumbani, wakamkuta yule mtumwa ni mzima.

Neno la Bwana…Sifa kwako, ee Kristo


a.gif Vishawishi vinatokana na nini?

Vishawishi vinatokana na;
1. Shetani
2. Watu
3. Vitu.. soma zaidi

a.gif Kitabu cha kwanza na cha mwisho katika Agano Jipya ni vipi?

Kitabu cha kwanza na cha mwisho katika Agano Jipya ni.. soma zaidi

a.gif Huruma ya Yesu Kristo kwa mwenye dhambi

Wakati mtu anapoanguka dhambini ndio wakati ambao Yesu anakua karibu na mtu sana hata kuzidi wakati mwingine wowote.
Wakati mtu anapoanguka dhambini ndio Yesu anakua karibu zaidi, lakini tatizo ni kwamba huo ni wakati ambao mtu hawezi kutambua uwepo wa Yesu. Neno moja tuu la Matumaini na Upendo wakati huo linaweza kumfungua mtu na kumbadilisha… soma zaidiFwatilia Website hii kupokea Makala Kama hii ya MASOMO YA MISA, JUMATATU, SEPTEMBA 16, 2019 JUMA LA 24 LA MWAKA

Endelea kusoma makala hizi za kufanana na hii ya; MASOMO YA MISA, JUMATATU, SEPTEMBA 16, 2019 JUMA LA 24 LA MWAKA

a.gif Mungu Anatuita Na Kutupa Nafasi Ya Kutubu Na Kumrudia Yeye Ili Atusamehe na Kutubariki

Tunaalikwa kutubu na kumrudia Mungu kwa Mioyo yetu yote na kwa nia dhabiti. Mungu ni mwaminifu, atatusamehe dhambi zetu na kutufanya kuwa wapya… soma zaidi

a.gif Tafakari Kuhusu Matumizi Ya Mali

Usiwe Bahili wa kutumia Mali ulizojaliwa na Mungu. Mungu amekupa Mali hizo ili ufurahie maisha uliyonayo ambayo siku moja yana mwisho… soma zaidi

a.gif Ahadi 15 za Rozari Takatifu

Mama Bikira Maria alitoa ahadi 15 kwa yule au wale watakaosali Rozari takatifu kila siku. Ahadi hizi aliwapa Mtakatifu Dominic na mwenye heri Alan de la Roche.
.. soma zaidi

[Sala Ya Sasa] 👉SALA ZA KATOLIKI

[Wimbo Mzuri PA.gif] Maajabu ya Mungu

[Tafakari ya Sasa] 👉Sala za kila siku

[Mtakatifu wa Sasa] 👉Mtakatifu Teresa (Teresia) wa Yesu (Avila)

[Jarida La Bure] 👉ROZARI YA MAMA BIKIRA MARIA

KWA-NINI-BIKIRA-MARIA-ANAPEWA-HESHIMA.JPG

a.gif Katika Amri ya Nane Mungu anaamuru nini?

Katika Amri ya Nane Mungu anaamuru tuseme ukweli na tulinde heshima ya wengine. (Mt 5:37, Yak 5:12)… soma zaidi

a.gif Kutangaza Vituo Vya Misaada Kwa Jamii

Kwenye Tovuti ya AckySHINE tunawakutanisha watu wanaotoa misaada mbalimbali kwa jamii hasa yatima, walemavu wasiojiweza na wazee, pamoja na Vituo vya kutolea Misaada.
Tunatoa nafasi kwa vituo vya kutoa msaada kwa jamii kutoa matangazo yao bure kwenye tovuti hii. Hatukusanyi michango yoyote bali tunatangaza vituo vya misaada… soma zaidi

a.gif Anayevunja ndoa na kuoa au kuolewa anaweza kupokea Sakramenti?

Hapana, Anayevunja maagano ya ndoa na kuoa au kuolewa hawezi kupokea Sakramenti ya Ekaristi wala Kitubio hadi afanye toba na kurekebisha hali hiyo. (Mk 10:11-12).. soma zaidi

a.gif Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi kwa sababu gani?

Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi kwa sababu amependa washiriki katika kazi zake. Ametuumba kwa njia ya wazazi na kutulea na kutusaidia kwa njia ya wengine pia. Hasa ametuokoa kwa njia ya Yesu, ambaye yupo nasi sikuzote katika Mwili wake, yaani Kanisa, na katika wale walioshirikishwa mamlaka ya Mitume… soma zaidi

a.gif Mtu ni nani?

Mtu ni kiumbe chenye mwili na roho kilichoumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. (Mwa 1:26).. soma zaidi

a.gif Siku ya tatu baada ya Yesu kufa ilitokea nini?

Siku ya tatu roho ya Yesu ilirudi mwilini mwake na kudhihirisha utukufu wa ufufuko… soma zaidi

a.gif MPANGILIO WA KURASA ZA POSTI NA MAKALA

Makala kuu za Wakatoliki;.. soma zaidi

a.gif Kampeni ya kutetea watu wenye ulemavu

Kampeni hii ilianzishwa na Melkisedeck Leon Shine mwaka 2018.
Lengo la kampeni hii ni kuhamasisha watu wote kusaidia na kutetea watu wenye ulemavu kwa maendeleo bora ya kimwili, kiroho na kijamii kwa manufaa ya walemavu wenyewe na kwa manufaa ya watu wote kwa sasa na kwa baadae.
Kampeni hii inaamini kuwa watu wenye ulemavu wanayo haki na nafasi sawa kama watu wengine katika jamii. Vile vile wanatamani kuishi kwa amani na furaha kwa hali ya kawaida kama watu wengine. Kwa hiyo kila mtu kwa nafasi yake anaweza akawawezesha kuishi kwa furaha na matumaini kama watu wengine… soma zaidi

a.gif Ukweli kuhusu tofauti na usawa wa X-MASS na CHRISTMAS

Na Fr. Titus Amigu
Lakini kwa leo nina jambo moja la kuweka sawa. Vijana kadhaa wameniomba nitoe maelezo kuhusiana na maneno “CHRISTMAS” na “X-MAS” maana wanachanganywa na wenzao. Kifupi, maelezo yanayosambazwa kwenye mitandao yetu ni kwamba “Christmas” ni sahihi na “X-mas” siyo sahihi. Maelezo haya yanayosambazwa si sahihi, ni ya uongo… soma zaidi

a.gif Maana ndefu ya Ishara ya msalaba

_Ishara ya msalaba ina maana ndefu sana!_.. soma zaidi

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

.

.

.

.

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.