Vyakula vinavyofaa kutumiwa kwa mtu mwenye kisukari aina ya kwanza

 1. Maharage
 2. Nyanya
 3. Samaki
 4. Mboga za majani zenye rangi ya kijani
 5. Matunda jamii ya machungwa
 6. Mafuta ya nazi
 7. Viazi vitamu
 8. Vyakula ambavyo havijakobolewa
 9. Maziwa yasiyo na mafuta ndani yake
 10. Mbegu za maboga
 11. Mtindi usio na mafuta ndani yake

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

KADI-SHUKRANI-MZAZI.JPG
NIMEKUMISI-MPENZI086H.JPG