Tafuta

🍴 AckySHINE Afya & MapishiπŸ‘‡

.

Jiunge na Kampeni ya Amani na Upendo Yenye Lengo la kudumisha Amani na Upendo.

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Namna ya kupika VitumbuaπŸ‘‡βœ”

Vitumbua ni aina ya vitafunwa vya chai ambavyo hutengenezwa kwa kutumia unga wa mchele. Kiasili vitumbua ni chakula ambacho hupendelewa sana na watu wa pwani. Na mara nyingi wamekuwa wakipika kwa kuchanganya na nazi ili kuvifanya view na ladha nzuri zaidi

Mahitaji:

Unga wa mchele Β½ kg
Sukari vijiko 4 vya mezani
Tui bubu la nazi
Mafuta ya kupikia
Unga wa hiliki Β½ kijiko cha chai
Hamira kijiko 1 cha chai
Chuma cha vitumbua

Maandalizi:

Chukua unga wa mchele na weka kwenye bakuli au sufuria ya kilo moja
Weka hamira kisha weka sukari kisha miminia tui katika mchanganyiko wako
Weka hiliki koroga hadi view uji mzito
Acha uji huo kwa muda wa saa moja hadi uumuke, mara nyingi kuumuka kunategemea na hali ya hewa,
Baada ya hapo weka mafuta kijiko kimoja cha chakula kila kishimo acha yapate moto Kisha kaanga virumbua vyako

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Jinsi ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Namna ya kupika Vitumbua).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Jiunge na kampeni ya Umoja wa Imani Lengo la kampeni Hii ni kudumisha Amani na Umoja

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

Ndugu.gif

.