Unachotakiwa kujua kuhusu Shinikizo la chini la damu

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Jinsi ya kuondoa kitambi na kupata afya nzuri, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Unachotakiwa kujua kuhusu Shinikizo la chini la damu.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Ufuta Na Jam.

Unachotakiwa kujua kuhusu Shinikizo la chini la damu

By, Melkisedeck Shine.

Ugonjwa wa Shinikizo la chini la damu ambao hujulikana kama hypotension kwa Kiingereza ni hali ambayo shinikizo la damu ya mtu linakuwa chini sana.

Dalili za ugonjwa wa shinikizo la chini la damu

 1. kizunguzungu,
 2. uchovu,
 3. udhaifu,
 4. kupumua kwa shida,
 5. kupungua kwa nuru ya macho nk

Shinikizo la kawaida la damu vipimo vinatakiwa visome 120/80 mm Hg.

Ikiwa vipimo vitasoma una 90/60 mm Hg au chini ya hapa, una shinikizo la chini la damu. Shinikizo la damu linapokuwa chini zaidi linasababisha msukumo ulio chini wa damu kwenye ogani kama ubongo, figo, na kwenye moyo.

Mambo yanayosababisha shinikizo la chini la damu

 1. kupungua kwa maji mwilini,
 2. kulala sana,
 3. lishe duni,
 4. kushuka kwa wingi wa damu,
 5. matatizo ya moyo,
 6. ujauzito,
 7. Baadhi ya dawa za hospitalini
 8. homoni kutokuwa sawa nk.

Unaposhughulika na shinikizo la chini la damu inashauriwa kuongeza matumizi ya chumvi na maji. Hata hivyo wasiliana na daktari wako wa karibu kabla kuamua lolote mwenyewe binafsi.

Ugonjwa huu unaweza kupona japo Kupona kabisa kunategemea na aina hasa ya chanzo chake.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Unachotakiwa kujua kuhusu Shinikizo la chini la damu. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Unachotakiwa kujua kuhusu Shinikizo la chini la damu, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ Mapishi ya Mlenda wa bamia na nyanya chungu, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Bilinganya, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Biskuti Za Kastadi, endelea kusoma...

β€’ Njia za kutibu chunusi bila kwenda hospitali, endelea kusoma...

β€’ Vyakula vinavyowezesha ubongo ufanye kazi kwa ufanisi, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Juisi Ya Mabungo, endelea kusoma...

β€’ Njia za kuongeza wingi wa mbegu za kiume, endelea kusoma...

β€’ Vitu vinavyoweza kusababisha tatizo la mbegu chache na ugumba kwa ujumla kwa wanaume, endelea kusoma...

β€’ Mambo ya kuzingatia kujikinga na chunusi | Jinsi ya kuzuia, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Mtindi na asali, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Unachotakiwa kujua kuhusu Shinikizo la chini la damu, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

KUKUTANA-MPENZI-FG94T.JPG
Slide3-mabestimliopotezana.PNG