Ulaji mzuri hupunguza uwezekano wa kupata shinikizo la chini la damu

By, Melkisedeck Shine.

Ni mhimu kula mlo kamili kila siku. Kula lishe duni kunaweza kupelekea kuzalishwa kwa damu isiyo na afya inayoleta shinikizo la damu.

Kula zaidi vyakula vyenye protini, vyenye vitamini B na C kwa wingi. Kula milo midogo midogo hata mitano kuliko kula miwili au mitatu lakini ya nguvu sana.

Unaweza kutumia kitunguu swaumu hasa kibichi ukitafuna punje 2 kila unapoenda kulala kadharika glasi moja ya juisi ya ubuyu kutwa mara 1.

Acha vilevi vyovyote mara tu unapogundulika na shinikizo la chini la damu. Epuka pia vyakula vyenye wanga sana kama tambi, mikate, viazi, wali nk

Upungufu wa baadhi ya vitamini hasa vitamini za kundi B na madini kunaweza pia kuleta shinikizo la chini la damu. Hivyo ili kudhibiti shinikizo la chini la damu unahitaji kula mlo sahihi kila siku.



wadogo.gif

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Ulaji mzuri hupunguza uwezekano wa kupata shinikizo la chini la damu;

a.gif Matumizi ya maji kutibu shinikizo la chini la damu

Matumizi ya maji ya kunywa ni moja ya dawa rahisi kabisa ya shinikizo la chini la damu… endelea kusoma

a.gif Matumizi ya Tangawizi kutibu shinikizo la chini la damu

Hatua za kufuata.. endelea kusoma

a.gif Njia za kutibu shinikizo la chini la damu au presha ya kushuka

Nyia hizo ni kama ifuatavyo;.. endelea kusoma

a.gif Vyakula vinavyofaa kutumiwa kwa mtu mwenye kisukari aina ya kwanza

Vyakula hivyo ni;.. endelea kusoma

[Kichekesho Kwako] 👉Simu ilivyozua utata

UJUMBE-MSAMAHA-35JHF32.JPG

a.gif Mapishi ya Biskuti Za Mayai

Unga 3 Vikombe.. endelea kusoma

a.gif Matumizi ya karoti na asali kutibu presha ya kushuka

.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Vileja Vya Tambi

Tambi (vermiceli Roasted) Mifuko 2.. endelea kusoma

a.gif Mambo Mubimu kujua Kuhusu Tatizo la Shinikizo la damu (Tatizo la presha)

Ni msukumo wa damu ulio juu kuliko inavyotakiwa kwa muda mrefu. Msukumo wa damu huhitajika mwilini ili kusambaza chakula, oksijeni na kutoa uchafu. Shinikizo la damu hupimwa kwa kutumia kifaa kinachoitwa Sphygmomanometer.. endelea kusoma

[Msemo wa Leo] 👉Mwanzo mzuri wa kitu

[Jarida la Bure] 👉Kijitabu cha Kilimo Bora cha Hoho

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

SALAMU-JIONI98HBS.JPG
UJUMBE-HONGERA-NDUGUU.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.