Tatizo la maumivu wakati na baada ya kufanya mapenzi

By, Melkisedeck Shine.

Wakati wa kufanya tendo la ndoa wapo baadhi ya watu hupatwa na maumivu wakati au baada ya kushiriki tendo, Maumivu haya yaweza kuwa;- Wakati tu uume unaingia,
Unapoingiza kitu chochote hata kidole, Wakati uume ukiwa ndani na Maumivu ya kupita (throbbing pain) yanayodumu masaa kadhaa baada ya tendo.

Sababu za maumivu

Sababu zaweza kuwa za kimwili (physical) au za kisaikolojia.

Sababu za kimwili baadhi ni kama;

Kutokua na ute wa kutosha kwa ajili ya kulainisha uke kutokana na kukosa maandalizi ya kutosha, kupungua kwa homoni baada ya ukomo wa hedhi, kujifungua au kunyonyesha, baadhi ya dawa za magonjwa ya akili, presha na uzazi wa mpango.

Ajali au upasuaji maeneo ya nyonga, ukeketaji na kuongezewa njia wakati wa kujifungua. Pia matibabu ya kutumia mionzi eneo la nyonga.

Tatizo la mishipa ya uke kusinyaa yenyewe (Vaginismus).

Tatizo la uumbaji linalopelekea mtu kuzaliwa wakati uke haujatengenezwa vizuri mfano “vaginal agenesis na imperforate hymen.”

Magonjwa ya kizazi kama “endometriosis, PID,fibroids.”

Sababu za kisaikolojia;

Msongo wa mawazo, wasiwasi, sonona, matatizo ya mahusiano, woga wa mimba, historia ya kuumizwa kimapenzi (sexual abuse) siku za nyuma.

USIKOSE HII👉 Mtafute ndugu yako hapa


KADI-SALAMU-MCHANA-JION.JPG

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Tatizo la maumivu wakati na baada ya kufanya mapenzi;

a.gif Vyakula vinavyosaidia macho kuongeza uwezo wa kuona

Je unakula chakula bora ambacho ni bora pia kwa ajili ya macho yako? Kula vizuri kuna manufaa mengi kwa ajili ya miili yetu; macho nayo yakiwemo. Kuna virutubisho mbalimbali vinavyohitajika kwenye macho kuliko tu vile vinavyofahamika na wengi vilivyoko kwenye karoti… endelea kusoma

a.gif Namna ya kuongeza nguvu za kiume bila kutumia dawa

Upungufu wa nguvu za kiume umekua tatizo kubwa sana kwa wanaume wengi. Tatizo hili limewakumba wanaume wengi walio katika ndoa na hata wale ambao bado hawajaoa. Watu wengi wamekuwa wakisumbuka kutafuta utatuzi kwani tatizo hili huwafanya kuwa na wasiwasi wa maisha. Ndoa nyingi zimevunjika na mahusiano kuharibika kwa sababu ya tatizo hili… endelea kusoma

a.gif Tatizo la kutoka majimaji kwenye matiti

Tatizo hili husimama lenyewe kama ugonjwa ingawa pia inaweza kuwa ni dalili kama mwanamke ni mjamzito, ananyonyesha au ametoa mimba au ameharibikiwa na mimba. Kusimama kwake kama ugonjwa ni pale yanapotoka wakati mwanamke hana historia ya dalili hizo hapo juu… endelea kusoma

a.gif Dalili za homa ya dengu (Dengue fever)

Dengue ni moja kati ya homa kali inayodhoofisha na kuambatana na maumivu makali. Kwa sasa hakuna kinga ya homa ya dengue, njia pekee ya kuepuka ugonjwa huu ni kuzuia kuumwa na mbu anayesambaza homa ya dengue… endelea kusoma

[Kitendawili Kwako] 👉Kinajitokeza mbali

[Fumbo Kwako] 👉Je, hawa walizikwa wapi?

[Kichekesho Kwako] 👉Haya ndiyo matatizo ya kweli sasa

rafiki.gif

a.gif Dalili, athari, kinga na tiba ya ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB)

Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bacteria na kuenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kifua kikuu akikohoa, kupiga chafya au kutema mate ovyo husambaza vijidudu hewa, huweza kumwabukiza mtu mwingine kama atakuwa hajaanza kutumia dozi ya kifua kikuu… endelea kusoma

a.gif Namna ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti

Unga 300gm.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kuandaa biskuti za Siagi Na Jam

Unga - 2 Vikombe
Sukari ya icing - 1 Kikombe
Siagi - 250 gm
Yai - 1
Vanilla - 2 Vijiko vya chai
Baking powder -1 Kijiko cha chai
Jam - ¼ kikombe
Lozi - ¼ kikombe.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Labania Za Maziwa

Maziwa ya unga 2 vikombe.. endelea kusoma

[Msemo wa Leo] 👉Amini unashinda

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

tafuta-ndugu.gif
Slide2-utotoni.GIF

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.