Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia Binzari, maziwa na asali

By, Melkisedeck Shine.

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia Binzari, maziwa na asali

Unahitaji vitu vifuatavyo:

a)Binzari ya unga
b)Maziwa fresh
c)Asali
d)Bakuli
e)Kijiko cha chai

Hatua kwa hatua namna ya kutumia:

a)Weka kijiko kidogo kimoja cha binzari ya unga ndani ya bakuli
b)Ongeza kijiko kidogo kimoja cha asali ndani yake
c)Ongeza tena kijiko kidogo kimoja au viwili vya maziwa fresh
d)Changanya vizuri mchanganyiko huu upate uji mzito
e)Pakaa pole pole sehemu yenye chunusi mchanganyiko huu
f)Baada ya dakika 5 au 7 hivi jisafishe uso wako
g)Fanya zoezi hili mara 2 au 3 tu kwa wiki


Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia Binzari, maziwa na asali;

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa mdalasini na asali

.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa Chumvi na mafuta ya zeituni

Mchanganyiko wa chumvi na mafuta ya zeituni (olive oil) ni dawa nyingine inayotibu chunusi. Mafuta ya zeituni yandhibiti bakteria na huondoa sumu vitu ambavyo vinafanya kuwa dawa nzuri kutibu chunusi na matokeo ya chunusi… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Uwatu (Fenugreek)

Uwatu ni dawa nyingine ya asili inayotumika kutibu chunusi. Uwatu unaondoa sumu na maambukizi mbalimbali… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia maganda ya ndizi

Maganda ya ndizi ni dawa nyingine nzuri ya kuondoa chunusi. Unachohitaji ni kuwa tu na maganda ya ndizi kwa ajili hii… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kuandaa Muhogo, Samaki Wa Kuchoma Na Bamia

Mihongo 3 - 4.. endelea kusoma

a.gif Mbinu 11 za kufuata ili uweze kuacha pombe

Pombe ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi pasipo hata kufahamu athari zake. Pombe ina athari mbalimbali kiafya na kisaikolojia. Wengi baada ya kuathiriwa na pombe hutamani kuacha matumizi ya pombe lakini ni wachache tu ndiyo hufanikiwa katika hili… endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Pilau Ya Nyama Ng'ombe Karoti Na Zabibu

Nyama ng’ombe ya mifupa ilokatwa vipande - 1 kilo.. endelea kusoma

a.gif Faida za kunywa juisi ya ubuyu

Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu… endelea kusoma

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

.

afya-mapishi-na-lishe.png
uliyesoma.gif
picha-kali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.