AckySHINE Afya na Mapishi Β» Namna ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti

Tafuta

πŸ‘‰ Namna ya kupika Biskuti Za Kuchoveya ChokoletiπŸ‘‡βœ”

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Ndugu yako yupo hapa anakuulizia

VIAMBAUPISHI

Unga 300gm

Siagi 225gm

Icing Sugar 60gm

Chokoleti iliyokoza (Dark Chocolate) - 225gm

Vanilla – Vijiko 2 vya chai

Yai -1

Baking Powder Β½ kijiko cha chai

Njugu za vipande Β½ kikombe cha chai

Njugu zilizosagwa ΒΌ kikombe cha chai

JINSI YA KUTAYARISHA

Piga sukari na siagi katika mashine ya keki mpaka iwe laini
Kisha mimina yai na vanilla koroga vizuri
Mwisho mimina unga na baking powder polepole mpaka ichanganyike.
Kata kata umbo (shape) lolote unavyopenda (kama nyota, pembetatu,duara, kopa n.k)
Panga kwenye treya na choma kwa moto wa 350Β°C , vikibadilika rangi kidogo tu vitoe
Yayusha chokoleti tia kwenye bakuli ndogo.
kisha paka kwa kijiko au chovyea upande mmoja mmoja wa biskuti kisha nyunyizia njugu za kipande na njugu ya unga.
Panga kwenye sahani tiyari kunywewa na chai ya maziwa au kahawa.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Namna ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


"Huwezi kuona thamani ya kitu ambacho hujakigharamia. Faida haina thamani kama haijagharamiwa."

mtu.gif

Expert available for Hire

Tafuta ndugu zako wa damu hapa Unawapata hapa moja kwa moja.
Soma%20Zaidi.gif