Matumizi ya karoti na asali kutibu presha ya kushuka

By, Melkisedeck Shine.

Hatua za kufuata

1. Tengeneza glasi moja ya juisi ya karoti

2. Weka vijiko vikubwa viwili vya asali ndani yake na kisha changanya vizuri

3. Kunywa yote asubuhi tumbo likiwa tupu na jioni glasi nyingine kwa majuma kadhaa

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Matumizi ya karoti na asali kutibu presha ya kushuka;

a.gif Matumizi ya Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu

Unaweza kutumia Lozi na maziwa kutibu shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo;.. endelea kusoma

a.gif Matumizi ya Mrehani (basil) kutibu presha ya kushuka

  1. Chukua majani 10 mpaka 15 ya mrehani mbichi
  2. Saga au twanga kupata maji maji yake (juisi).
  3. Weka asali kijiko kidogo kimoja ndani yake.
  4. Kunywa mchanganyiko huu kila siku asubuhi ukiamka tu tumbo likiwa tupu… endelea kusoma

a.gif Matumizi ya juisi ya limao kutibu shinikizo la chini la damu

Juisi hii ni nzuri sana katika kutibu shinikizo la juu la damu… endelea kusoma

[Kitendawili Kwako] πŸ‘‰Sisi sate hapa tumeoza viuno

[Fumbo Kwako] πŸ‘‰Je Juma atatumia njia gani kuvuka?

[Video Nzuri] πŸ‘‰Mashine ya kusaga kuku

[Chemsha Bongo Kwako] πŸ‘‰Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya hizi?

[Kichekesho Kwako] πŸ‘‰Huyu jamaa kawaweza wapenda vya bure

kj.gif

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia kitunguu swaumu

Kitunguu swaumu hujulikana kama kitu cha kushangaza katika tiba huko mashariki ya mbali, Kitunguu swaumu ni maajabu ya Mungu mwenyewe… endelea kusoma

a.gif Kampeni ya usafi Binafsi

Kampeni hii ilianzishwa na Melkisedeck Leon Shine mwaka 2018.
Lengo la kampeni Hii ni kuhamasisha watu kudumisha usafi wao binafsi kwa afya zao na kwa maendeleo yao.
Kampeni hii inaamini kuwa usafi wa mtu binafsi unamkinga na matatizo yatokanayo na uchafu kijamii na kiafya kwa mfano maradhi ambayo yanaweza kumzuia kuendelea na kazi zake za kawaida na kukua kimaendeleo kama mtu binafsi… endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali Wa Karoti Na Kuku Wa Kukaanga

Mchele wa Basmati/Pishori - 1 kilo moja.. endelea kusoma

a.gif Matumizi ya Tangawizi kutibu shinikizo la chini la damu

Hatua za kufuata.. endelea kusoma

[Msemo wa Leo] πŸ‘‰Chema na kizuri

[Jarida la Bure] πŸ‘‰Jarida la kilimo bora cha matikiti

[Hadithi Nzuri] πŸ‘‰Jinsi mke alivyotoboa siri ya Mmme wake

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

ndugu.gif
nn.gif

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.