Juisi hii ni nzuri sana katika kutibu shinikizo la juu la damu, lakini inaweza pia kutumika kutibu shinikizo la chini la damu hasa ikiwa hili shinikizo la chini la damu limesababishwa na upungufu wa maji mwilini (dehydration).

Kutibu shinikizo la chini la damu unaweza kuchanganya juisi ya limau na chumvi kidogo na sukari au unaweza kutumia maji maji ya miwa.


Slide1-mabest-skull.PNG

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Matumizi ya juisi ya limao kutibu shinikizo la chini la damu).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

🍴 Makala nyingine za Dondoo za Afya & MapishiπŸ‘‡

A.gif

Slide3-mabestimliopotezana.PNG