Mapishi ya Wali Wa Nyanya Wa Kukaanga

By, Melkisedeck Shine.

picha-kali.png

Mapishi ya Wali Wa Nyanya Wa Kukaanga

Vipimo

Mchele basmati, pishori - 3 vikombe

Vitunguu katakata - 2

Nyanya/tungule katakata - 5 takriban

Viazi/mbatata menya katakata - 3 kiasi

Thomu (saumu/garlic) ilosagwa - 1 kijiko cha supu

Bizari mchanganyiko - 1 kijiko cha kulia

Hiliki ya unga - ½ kijiko cha chai

Kidonge cha supu - 2

Chumvi - kisia

Mafuta - ½ kikombe

Maji ya moto au supu - 5 takriban

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

Osha na roweka mchele
Katika sufuria weka mafuta yashike moto, tia viazi, vitunguu ukaange.
Vikianza tu kugeuka rangi tia thomu na bizari, hiliki, endelea kukaanga kidogo.
Tia nyanya kaanga lakini usiache zikavurugika sana.
Tia mchele ukaange chini ya dakika moja.
Tia maji ya moto, na kidonge cha supu au supu yoyote kiasi cha kufunika mchele yazidi kidogo.
Koroga vichanganyike vitu, kisha funika upike kama pilau.
Pakua ikiwa tayari, tolea kwa samaki wa kukaanga au kitoweo chochote kile


Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Mapishi ya Wali Wa Nyanya Wa Kukaanga;

a.gif Mapishi ya Pilau Ya Nyama Ya Ng'ombe Na Nyanya

Mchele (Basmati) - 3 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Biriani Nyepesi Kupika Ya Samaki

Mchele wa pishori (basmati) - 4.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kuku Na Mboga Mchanganyiko

Mchele wa basmati/pishori - 4 vikombe vikubwa (mugs).. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Mseto Kwa Mchuzi Wa Samaki Wa Nazi

Tanbihi: Kiasi ya vipimo inategemea wingi wa watu, unaweza kupunguza au kuongeza. Hiki ni kiasi cha watu 6 takriban… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kufanya ili upate mtoto wa kike au wa kiume

Katika urutubishaji yai la mwanamke linabeba chromosome X yani XX. Na mbegu ya mwanaume inabeba chromosome XY. Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na Y kutoka kwa mwanaume mtoto wa kiume hupatikana. Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na X kutoka kwa mwanaume mtoto wa kike hupatikana.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Wali Wa Karoti Na Nyama

Mchele 3 Magi.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika pizza ya mboga mboga na cheese

1 kilo unga wa ngano
240 ml maji ya vugu vugu
2 olive oil kijiko kikubwa cha chakula
2 asali kijiko kidogo cha chai
1 chumvi kijiko kidogo cha chai
1 hamira ya chenga kijiko kidogo cha chai.. endelea kusoma

a.gif Matumizi ya mbaazi kama dawa

Mbaazi ni zao la chakula ambalo linalimwa sehemu nyingi sana hapa nchini, zao hili pia linaweza kutumika kama dawa kwa kutumia majani, mizizi na maua.. endelea kusoma

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

.

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png
Slide1-mabest-skull.PNG
vichekesho-bomba-vya-siku.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.