Mapishi ya Wali Wa Nazi Kwa Mchuzi Wa Samaki Na Rojo La Bilingani Na Viazi/Mbatata

By, Melkisedeck Shine.

Wali Wa Nazi

Mpunga - 4 vikombe

Tui la nazi - 6 vikombe

Chumvi - Kiasi

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

Osha mchele kisha
Bandika tui jikoni likichemka tia mchele na chumvi.
Funika uchemke, tui likikauka wacha moto mdogomdogo hadi wali uive ukiwa tayari. Ikiwa unatumia mkaa unapalia juu yake.

Mchuzi Wa Samaki Nguru

Samaki - 4

Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi - 2 viijiko vya supu

Kitunguu maji kilokatwakawa - 2 slice ndogo

Nyanya/tungule - 4

Nyanya kopo - 3 vijiko vya supu

Pilipili mbichi - 2

Kotmiri ilokatwakatwa - 3 msongo (bunches)

Bizari ya mchuzi (simba 2) - I kijiko cha chai

Ndimu - 1 kamua

Mafuta - ¼ kikombe

Chumvi kiasi

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

Katakata samaki mkaange kwa kumtia viungo.
Weka mafuta katika sufuria, kaanga kitunguu. Vinapogeuka rangi thomu na tangawizi mbichi, nyanya, nyanya kopo, kitunguu na bizari ya mchuzi endelea kukaanga.
Tia maji kiasi na ndimu, pilipili mbichi ilosagwa kisha tia kotmiri.
Mwisho tia nusu ya samaki alokaangwa ukiwa tayari

Bilingani Za Kukaanga Na Viazi

Bilingani - 4 madogodogo

Viazi/mbatata - 3

Nyanya - 3

Majani ya mchuzi/mvuje/curry leaves - kiasi 6-7

Nnyanya kopo - 2 vijiko vya supu

Methi/uwatu ulosagwa - 1 kijiko cha chia

Rai/mustard seeds - 1 kijiko cha supu

Bizari ya manjano/haldi/turmeric - 1 kijiko cha chai

Chumvi - kiasi

Mafuta ya kukaangia - kiasi

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

1. Weka mafuta ya kukaangia katika karai

2. Katakakata bilingani vipande vipande vya mraba (cubes) kaanga katika mafuta ya moto hadi yageuke rangi. Eupa weka kando.

3. Katakataka viazi/mbatata vipande vidogodogo vya mraba (cubes) Kaanga hadi viive epua weka kando.

4. Ondosha mafuta yote katika karai bakisha kidogo tu kiasi ya vijiko 2 vya supu.

5. Kaanga rai kisha majani ya mchuzi, na methi/uwatu kisha kaanga nyanya.

6. Tia nyanya ya kopo kisha changanya pamoja bilingani na viazi ikiwa tayari.UJUMBE-WA-ASUBUHI-KWA-NDUGU.JPG

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Mapishi ya Wali Wa Nazi Kwa Mchuzi Wa Samaki Na Rojo La Bilingani Na Viazi/Mbatata;

a.gif Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Kamba Wa Nazi, Kisamvu Na Kachumbari Ya Papa Mkavu

Maji - 4 vikombe kiasi inategemea na unga wenyewe… endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Muhogo Na Mbatata Za Nazi Kwa Nyama Ngombe

Nyama ya n’gombe ya mifupa - 3 lb.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutengeneza Pilau Ya Kuku

Mchele wa basmati - 3 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali Wa Mboga Na Mchuzi Wa Kuku wa Tanduri

Mchele basmati - 3 magi (kikombe kikubwa).. endelea kusoma

[Kitendawili Kwako] 👉Anajipiga kisha analia

[Kichekesho Kwako] 👉Stress tupu

KADI-SHUKRANI-MZAZI.JPG

a.gif Ujue na ufahamu mfumo wa Moyo

@UJUE NA UFAHAMU MFUMO WA MOYO (CARDIOVASCULAR SYSTEM).. endelea kusoma

a.gif Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia Binzari, maziwa na asali

a)Binzari ya unga
b)Maziwa fresh
c)Asali
d)Bakuli
e)Kijiko cha chai.. endelea kusoma

a.gif Aina ya mazoezi na umuhimu wa mazoezi kwa wamama wajawazito

Leo tutaongelea mazoezi gani ya kawaida ambayo mama mjamzito anaweza kuendelea kuyafanya kila siku ya ujauzito wake na umuhimu wake… endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Half cake (Keki)

Unga wa ngano (self risen flour) kikombe 1na 1/2
Sukari (sugar) 1/4 kikombe
Barking powder 1/2 kijiko cha chai
Magadi soda (bicarbonate soda) 1 kijiko cha chai
Mafuta 2 vijiko vya chai
Mafuta ya kukaangia
Maji ya uvuguvugu kiasi.. endelea kusoma

[Msemo wa Leo] 👉Chema na kizuri

[Jarida la Bure] 👉Biblia ya Kiswahili- Agano Jipya

[Hadithi Nzuri] 👉Kisa kilichombadilisha mume tabia

[SMS kwa Umpendaye] 👉Ujumbe mtamu wa mapenzi

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

KADI-MSAMAHA-MZAZI.JPG
Slide2-utotoni.GIF

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.