Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kamba Na Kuku

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Jinsi ya kupika Visheti Vyeupe Na Vya Kaukau, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kamba Na Kuku.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Jinsi ya kupika Vileja.

Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kamba Na Kuku

By, Melkisedeck Shine.

MAHITAJI

Mchele wa pishori (basmati) - 4

Nyama ya kuku bila mafupa - 1 Lb

Kamba saizi kubwa - 1Lb

Mchanganyiko wa mboga - njegere, karoti,

mahindi, maharage ya kijani (spring beans) - 2 vikombe

Figili mwitu (Cellery) - 2 mche

Vitunguu vya majani (spring onions) - 4-5 miche

Kebeji - 2 vikombe

Pilipili ya unga nyekundu - 1 kijiko cha chai

Pilipili manga ya unga - 1 kijiko cha chai

Sosi ya soya - 3 vijiko vya supu

Mafuta - 1/4 kikombe

Chumvi - kiasi

MAPISHI

Osha na roweka mchele.
Tia kamba chumvi na pilipili nyekundu ya unga. Tia mafuta vijiko viwili katika kikaango (frying pan), kaanga kamba kidogo tu, weka kando.
Katakata kuku vipande vidogo vidogo, tia chumvi na pilipili manga. Kaanga kaTika kikaango (ongeza mafuta kidogo) Weka kando.
Katika karai, tia mafuta kidogo kama vijiko vitatu vya supu, tia kamba na kuku, tia mboga za mchanganyiko, sosi ya soya na chumvi, kaanga kidogo. (Kama mboga sio za barafu) itabidi uchemshe kidogo.
Katakata kebeji, figili mwitu (cellery) na vitunguu vya majani (spring onions) utie katika mchaganyiko. acha kwa muda wa chini ya dakika moja katika moto.
Chemsha mchele, tia mafuta kidogo au siagi, chumvi upikie uive nusu kiini, mwaga maji uchuje.
Changanya vyote na wali rudisha katika sufuria au bakuli la oveni, funika na upike kwa moto wa kiasi kwa muda wa dakika 15-20 takriban.
Epua na upakue katika sahani ukiwa tayari kuliwa.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kamba Na Kuku. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Jinsi ya kupika Wali Wa Kichina wa mboga mboga Na Mayai
 1. Mchele (Basmati) - 3 vikombe
 2. Mbogamboga za barafu (karot, njegere, spring beans na mahindi) - 1 kikombe
 3. Kuku Kidari - 1 LB (ratili)
 4. Mayai - 2 mayai
 5. Vitunguu (vikubwa) - 2 au 3 vidogo
 6. Pili pili manga - 1 kijiko cha chai
 7. Paprika - 1 kijiko cha chai
 8. Chumvi - Kiasi
 9. Mafuta - 1/3 kikombe cha chai
 10. Kitunguu saumu(thomu/galic) - 1 kijiko cha supu
 11. Tangawizi - 1 kijiko cha chai
 12. Kidonge cha supu - 1
 13. Soy sauce - 2 vijiko vya supu.. soma zaidi

a.gif Fahamu kuhusu kitambi na uzito uliopitiliza
Mwili wa binadamu umeundwa kwa organs na mifumo mbalimbali ili kuuwezesha kufanya kazi sawia. Mfano,
Moyo
Ini
Figo
Mapafu
Mfumo wa fahamu
Mfumo wa uzazi
Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula… soma zaidi
a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia mvuke
Mvuke husaidia kusafisha ngozi. Ni rahisi sana kutumia mvuke kutibu chunusi… soma zaidi
a.gif LISHE BORA KWA WATU WENYE AFYA NZURI
• Kula chakula bora kunamaanisha kula vyakula aina tofauti ya vyakula kila siku kama vile matunda, mboga, maziwa na aina ya vyakula vyenye asili ya nyama wa kufuga kama kuku, mbuzi, ngombe, samaki na na vyakula vya nafaka… soma zaidi

Makala hii kuhusu, Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kamba Na Kuku, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Mapishi ya Viazi, samaki na asparagus, endelea kusoma...

• Jinsi ya kutengeneza Mkate wa mayai, endelea kusoma...

• Njia za kutibu chunusi bila kwenda hospitali, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Biriyani Ya Nyama Ng'ombe, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Wali Wa Kichina wa mboga mboga Na Mayai, endelea kusoma...

• Mapishi ya Wali Wa Zaafarani Na Kuku Wa Kupaka, endelea kusoma...

• Mapishi ya wali mtamu Wa Nazi Kwa Maharage Na Samaki Nguru Wa Kukaanga, endelea kusoma...

• Mapishi mazuri ya Wali Wa Kukaanga Kwa Kidari Cha Kuku, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika vizuri Wali Wa Karoti Na Nyama, endelea kusoma...

• Mapishi ya Pilau Ya Nafaka Na Nyama Ya Kusaga, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kamba Na Kuku, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-MSAMAHA-35JHF32.JPG
NIMEKUMISI-MPENZI086H.JPG