Tafuta

πŸ‘‰ Mapishi ya Tende Ya Kusonga Ya Lozi Na CornflakesπŸ‘‡βœ”

VIAMBAUPISHI

Tende zilizotolewa kokwa - 1 Kilo

Cornflakes - 1 Β½ kikombe

Lozi Zilokatwa katwa - 1 kikombe

Siagi - ΒΌ kilo

MANDALIZI

Mimina tende na siagi kwenye sufuria bandika motoni moto mdogo mdogo mpaka zilainike. Kwa muda wa dakika 10.
Isonge kidogo kwa mwiko au kuikoroga ichanganyike vizuri.
Changanya Cornflakes na lozi kwenye tende mpaka zichanganyika vizuri.
Pakaza treya au sinia mafuta au siagi kidogo.
Mimina mchanganyiko wa tende, zitandaze vizuri na ukate vipande saizi unayopenda. Zikiwa tayari kuliwa kwa kahawa.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Mapishi ya Tende Ya Kusonga Ya Lozi Na Cornflakes).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”


"Inapendeza kweli mke na Mume kusaidiana. Kusaidiana ni Kushirikiana lakini kugawana majukumu ni kupeana mzigo."

misaadas.gif
KJHGFGKJH.gif
OIUYTFF.gif
MJJHGF.gif
MNBCXS.gif

Expert available for Hire