Mapishi ya tambi za kukaanga

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Jinsi ya kuandaa Pilau ya sosi ya soya, nyama na mboga, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Mapishi ya tambi za kukaanga.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Jinsi ya kutibu chunusi kwa Siki ya tufaa.

Mapishi ya tambi za kukaanga

By, Melkisedeck Shine.

Kupika tambi ni kama ifuatavyo

VIAMBA UPISHI

Tambi pakti moja

Sukari ¾ kikombe cha chai

Mafuta ½ kikombe cha chai

Iliki kiasi

Maji 3 Vikombe vya chai

Vanilla / Arki rose 1-2 Tone

Zabibu Kiasi (Ukipenda)

JINSI YA KUPIKA TAMBI ZAKO

1. Zichambue tambi ziwe moja moja.

2. Mimina mafuta kwenye sufuria yakisha pata moto mimina
tambi,zigeuzegeuze mpaka zibadilike rangi na kuwa brown.

3. Punguza mafuta kwa kuyachuja na zirudishe jikoni.

4. Nyunyizia iliki zilizosagwa koroga kidogo na mimina maji na tia arki
na acha zichemke mpaka maji yakikaribia kukauka mimina sukari
koroga kidogo na punguza moto.
5. Kisha tia zabibu ukipenda, zifunike ili zikaukie vizuri.

6. Zikishakauka pakua kwenye sahani tayari kwa kuliwa

Kidokezi: Itategemea na aina za Tambi unazopika kwa kukisia maji, kama utaona hazijaiva unaweza kuongeza maji kidogo.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Mapishi ya tambi za kukaanga. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Mapishi ya tambi za kukaanga, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia papai, endelea kusoma...

• Mapishi ya wali mtamu Wa Nazi Kwa Maharage Na Samaki Nguru Wa Kukaanga, endelea kusoma...

• Kupima lishe au afya ya mtu, endelea kusoma...

• Mapishi ya tambi za mayai, endelea kusoma...

• Jinsi ya kuishi maisha marefu (Mambo ya kuzingatia ili uishi maisha marefu), endelea kusoma...

• Madhara ya soda, endelea kusoma...

• Madhara ya kula yai bichi, endelea kusoma...

• Tofauti kati ya yai la kuku wa kienyeji na la kuku wa kisasa, endelea kusoma...

• Kupima lishe au afya ya mtu, endelea kusoma...

• Virutubishi, kazi zake katika mwili na vyanzo vyake, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Mapishi ya tambi za kukaanga, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

KADI-SALAMU-JIONI-MZAZI.JPG
UJUMBE-WA-MCHANA-KWA-NDUGU.JPG