Tafuta

🍴 AckySHINE Afya & MapishiπŸ‘‡

.

Ndugu zako wanakutafuta hapa Wapo kwenye mtandao na wao

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Mapishi ya Supu Ya MabogaπŸ‘‡βœ”

Viamba upishi

Blue band vijiko vikubwa 2
Maziwa vikombe 2
Royco kijiko kikubwa 1-2
Pilipili manga (unga) kijiko cha 1
Chumvi kiasi Maji lita 2-3
Boga kipande Β½
Viazi mviringo 2
Vitunguu 2
Karoti 2
Nyanya 2

Hatua

β€’ Menya boga, viazi, karoti, nyanya na kwaruza weka kwenya sufuria kubwa.
β€’ Menya, osha na katakata vitunguu kisha ongeza kwenye mboga.
β€’ Ongeza maji na chumvi chemshwa mpaka vilainike.
β€’ Pekecha ikiwa jikoni na moto kidogo
β€’ Ongeza blue band, maziwa royco na pilipili manga ukikoroga kwa dakika 5.
β€’ Onja chumvi na pakua kama supu.
Uwezekano
Tumia siagi badala ya margarine.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Mapishi ya Wali na kuku wa kienyeji.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Mapishi ya Supu Ya Maboga).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Ndugu zako wanapatikana hapa Wapo wanakusubiri uwatafute

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

Slide2-utotoni.GIF

.