Mapishi ya Samaki wa kuokwa

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mapishi – Fish Finger, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Mapishi ya Samaki wa kuokwa.

Mapishi ya Samaki wa kuokwa

By, Melkisedeck Shine.

Mahitaji

Mackerel 2
Kitunguu swaum na tangawizi (ginger and garlic paste) 1 kijiko cha cha kula
Pilipili iliyo katwakatwa (chopped scotch bonnet ) 1/2
Limao (lemon) 1/2
Chumvi (salt) kiasi
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Coriander powder 1/2 kijiko cha chai
Mafuta 1 kijiko cha chai

Matayarisho

Safisha samaki kisha wakaushe maji ( ukipenda unaweza kuwakata kati au ukawapika wazima) Baada ya hapo wakate mistari kila upande ( ili spaces ziweze kuingia ndani) kisha waweke kwenye bakuli na utie spice zote. Wachanganye vizuri kisha waweke frijini na uwaache wamarinate kwa muda wa masaa 3. Baada ya hapo washa oven kisha wapakaze mafuta na uwafunge kwenye foil na uwatie kwenye oven kwa muda wa dakika 20. Baada ya hapo fungua foil na uwaache kwenye oven kwa muda wa dakika 10 ili wapate kukauka kidogo. Na hapo watakuwa tayari kwa kuliwa. Unaweza kuwala kwa kitu chochote upendacho.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Mapishi ya Samaki wa kuokwa. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Mapishi ya Samaki wa kuokwa, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Mapishi ya Wali na kuku wa kienyeji, endelea kusoma...

• Faida za mafuta ya nazi kiafya kwenye mwili, endelea kusoma...

• Mapishi ya Sponge keki, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Mishkaki ya kuku, endelea kusoma...

• Jinsi ya kutengeneza Mkate wa mayai, endelea kusoma...

• Mapishi ya Supu ya makongoro, endelea kusoma...

• Mapishi ya Bilinganya, endelea kusoma...

• Jinsi ya kutengeneza saladi, endelea kusoma...

• Mapishi ya Wali, samaki, bilinganya na spinach, endelea kusoma...

• Mchemsho wa samaki na viazi, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Mapishi ya Samaki wa kuokwa, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

KADI-POLE-MZAZI.JPG
wadogo.gif