Mapishi ya samaki aina ya salmon

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Jinsi ya kupika Biriyani Ya Nyama Ng'ombe, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Mapishi ya samaki aina ya salmon.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

Mapishi ya samaki aina ya salmon

By, Melkisedeck Shine.

Mahitaji

Salmon fillet 2
Potatao wedge kiasi
Lettice kiasi
Cherry tomato
Limao 1
Swaum
Chumvi
Olive oil

Matayarisho

Mmarinate samaki na chumvi, swaum na nusu ya limao kisha muweke pembeni, baada ya hapo washa oven kisha tia potato wedge zikisha karibia kuiva anza kumpika samaki, tia mafuta kidogo sana kama kijiko kimoja cha chai hivi katika frypan isiyoshika chini yakisha pata moto kiasi muweke samaki wako (upande wenye ngozi chini kwanza) Mpike mpaka uone rangi ya kahawia kwa chini kisha mgeuze upande wa pili, uku samaki wako akiwa anaendelea kuiva, tayarisha salad yako kwa kusafisha lettice na nyanya kisha zichanganye pamoja kisha tengeneza salad dressing pembeni , kamua limao kisha tia olive oil na chumvi kidogo, Baada ya hapo samaki na potato wedge vitakuwa vimeiva, andaa mlo wako na utakuwa tayari kwa kuliwa.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Mapishi ya samaki aina ya salmon. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Mapishi ya samaki aina ya salmon, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Jinsi ya kupika Biskuti Za Kuchoveya Chokoleti, endelea kusoma...

• Mapishi ya Maini ya ng'ombe, endelea kusoma...

• Jinsi ya kuandaa Vileja Vya Tambi, endelea kusoma...

• Mapishi ya Samaki wa kupaka, endelea kusoma...

• Mapishi ya Maharage, endelea kusoma...

• Mapishi ya Dagaa wa nazi, nyanya chungu na bamia, endelea kusoma...

• Mapishi ya Mlenda wa bamia na nyanya chungu, endelea kusoma...

• Mapishi ya Maini ya ng'ombe, endelea kusoma...

• Mapishi ya Firigisi za kuku, endelea kusoma...

• Mapishi ya Mchuzi wa kambale, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Mapishi ya samaki aina ya salmon, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

A Jinsi ya kupika Biriyani Ya Nyama Ng'ombe, soma zaidi...
A Mapishi ya chipsi na samaki wa kuchoma, soma zaidi...
A Mapishi ya Tende Ya Kusonga Ya Lozi Na Cornflakes, soma zaidi...
A Jinsi ya kuandaa Biriani Na Sosi Ya Nyama Ya Mbuzi, soma zaidi...
A Mapishi ya wali wa Kiafrika Mangaribi, soma zaidi...
A Jinsi ya kuondoa kitambi na kupata afya nzuri, soma zaidi...
A Soma hii Kabla hujafikiria kula nyama ya nguruwe tena, soma zaidi...

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.