Mapishi ya Pilau Ya Kuku Kwa Mchele Mpya

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Ufuta Na Jam, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Mapishi ya Pilau Ya Kuku Kwa Mchele Mpya.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende Na Ufuta.

Mapishi ya Pilau Ya Kuku Kwa Mchele Mpya

By, Melkisedeck Shine.

Mahitaji

Mchele - 1 kilo

Kuku - 1

Vitunguu - 3

Viazi/mbatata - 5

Jira/bizari ya pilau nzima - 3 vijiko vya supu

Mdalasini - 1 kijiti

Pilipili manga - 1 kijiko cha supu

Hiliki - 3 chembe

Karafuu - 5 chembe

Kitunguu saumu(thomu/galic) kilosagwa - 3 vijiko vya supu

Tangawizi mbichi ilosagwa - 3 vijiko vya supu

Mafuta ya kupikia - Β½ kikombe

Chumvi - kiasi

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

Baada ya kumsafisha kuku na kumkatakata, mchemshe kwa chumvi na ndimu, kijiko kimoja cha kitunguu thomu/somu na tangawizi yote..
Menya viazi, katakata vipande vya kiasi.
Katakata vitunguu maji kisha kaanga kwa mafuta katika sufuria ya kupikia pilau.
Tia bizari zote isipokuwa hiliki.
Saga hiliki kisha tia pamoja na kitunguu thomu/somu ukaange kidogo.
Mimina kuku na supu yake ikichemka kisha tia mchele na viazi.
Koroga kisha acha katika moto mdogomdogo wali uwive kama kawaida ya kupika pilau.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Mapishi ya Pilau Ya Kuku Kwa Mchele Mpya. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Mapishi ya Pilau Ya Kuku Kwa Mchele Mpya, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ Mapishi ya wali wa hoho nyekundu, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kutibu chunusi kwa mdalasini na asali, endelea kusoma...

β€’ Vitu vinavyoweza kusababisha tatizo la mbegu chache na ugumba kwa ujumla kwa wanaume, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kuandaa Wali Wa Hudhurungi Na Kabeji, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma (Grilled), endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Wali Wa Tambi Na Kuku Wa Sosi Ya Mtindi, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Pilau ya Nyama ya Kusaga Na Mboga Mchanganyiko, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Biriani Ya Samaki Nguru, Njegere Na Snuwbar (UAE), endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Borhowa, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya wali kuku wa Kisomali, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Mapishi ya Pilau Ya Kuku Kwa Mchele Mpya, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-WA-ASUBUHI-KWA-NDUGU.JPG
UJUMBE-POLE-NDUGU.JPG