Mapishi ya Ndizi Za Supu Ya Nyama Ya Ng’ombe

By, Melkisedeck Shine.

Mahitaji

Ndizi - 15 takriiban

Nayma ya ng’ombe - 1 kilo

Kitunguu maji - 1

Nyanya - 3

Kitunguu saumu(thomu/galic) kilosagwa - 1 kijiko cha supu

Tangawizi mbichi ilosagwa - 1 kijiko cha supu

Pilipili mbichi ilopondwa - 2

Jira/cummin/bizari ya pilau ilosagwa - 1 kijiko cha chai

Ndimu - 1

Chumvi - kiasi

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

Chemsha nyama kwa ndimu, chumvi na tangawizi mbichi na kitunguu thomu.
Menya ndizi na zikatekate vipande kiasi, weka katika sufuria.
Katakata kitunguu na nyanya utie katika ndizi.
Tia jira na chumvi.
Nyama ikiwiva mimina pamoja na supu yake ufunike ndizi ziwive na kuwa tayari kuliwa.
Ukipenda tia pilipili mbuzi zichemke pamoja na ndizi.

USIKOSE HII👉 Tafuta ndugu zako hapa


UJUMBE-UNAVYOMMISI-NDUGU.JPG

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Mapishi ya Ndizi Za Supu Ya Nyama Ya Ng’ombe;

a.gif Mapishi ya Wali Wa Kukaanga Kwa Nyama Mbuzi Ilichomwa Ya Sosi Ya Ukwaju

Mchele Basmati - 4 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Pilau Ya Kuku Kwa Mchele Mpya

Mchele - 1 kilo.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali Wa Karoti Na Kuku Wa Kukaanga

Mchele wa Basmati/Pishori - 1 kilo moja.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali Wa Nazi Wa Adesi, Bamia Na Mchuzi Wa Kamba

Mchele - 2 vikombe.. endelea kusoma

[Kitendawili Kwako] 👉Natembea nikitupa

[Fumbo Kwako] 👉Je, hawa walizikwa wapi?

[Chemsha Bongo Kwako] 👉Je hapa sisi tuna Macho Mangapi?

uliyesoma.gif

a.gif Vyakula vinavyosaidia macho kuongeza uwezo wa kuona

Je unakula chakula bora ambacho ni bora pia kwa ajili ya macho yako? Kula vizuri kuna manufaa mengi kwa ajili ya miili yetu; macho nayo yakiwemo. Kuna virutubisho mbalimbali vinavyohitajika kwenye macho kuliko tu vile vinavyofahamika na wengi vilivyoko kwenye karoti… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Juisi Ya Mabungo

Mahitaji.. endelea kusoma

a.gif Mambo ya Msingi kujua kuhusu rangi ya mkojo wako

Je unafahamu ya kwamba rangi ya mkoja inakupa matokea sahihi kuhusu afya yako? Kama jibu ni hapana basi makala haya yanakusu wewe, kwani rangi ya mkoja kwa mujibu wa watalamu wa afya unauwezo mkubwa wa kukuoa ukweli juu ya afya yako… endelea kusoma

a.gif Mambo ya kuzingatia kujikinga na chunusi | Jinsi ya kuzuia

1. Fanya mazoezi ya viungo kwa saa moja kila siku
2. Kunywa maji mengi kila siku
3. Ondoa mfadhaiko (stress)
4. Weka homoni sawa kama hazipo sawa
5. Kuwa msafi wa mwili wote kila mara
6. Usiziguse chunusi au kuzitoboa na mikono yako au na chochote kuepuka makovu yasiyo ya lazima
7. Epuka vyakula vifuatavyo kama unasumbuliwa na chunusi kila mara, navyo ni pamoja na:.. endelea kusoma

[Msemo wa Leo] 👉Ushauri kwa mtu

[Jarida la Bure] 👉Mapishi ya wali wa karoti na nyama

[Hadithi Nzuri] 👉Kisa cha kusisimua cha mama mjane

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-ZA-USIKU-KWA-NDUGU.JPG
SALAMU-USIKU-23ND.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.