Mapishi ya Ndizi na Nyama Ya Ng’ombe-2

By, Melkisedeck Shine.

picha-kali.png

Mapishi ya Ndizi na Nyama Ya Ng’ombe-2

Mahitaji

Ndizi mbichi - 10-12

Nyama ng’ombe - 1 kilo moja

Kitunguu maji - 2

Nyanya/tungule - 2

Kitunguu saumu(thomu/galic) - 7

Tangawizi mbichi - 1 kipande

Ndimu - 2 kamua

Chumvi - kiasi

Mafuta - 3 vijiko vya supu

Tui la nazi - 3 vikombe

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

Saga kitunguu thomu na tangawiz mbichi.
Weka nyama katika sufuria tia kijiko kimoja cha kitunguu thomu na tangawizi, chumvi na ndimu kisha chemsha hadi iive.
Menya ndizi ukatekate
Weka mafuta katika sufuria tia kitunguu maji kilokatwakatwa ukaange kidogo tu kisha tia nyanya/tungule uendelea kukaanga.
Tia tangawizi na thomu ilobakia.
Tia ndizi, kaanga kidogo kisha tia supu ya nyama na nyama yake.
Ziache ndizi ziive zikiwa tayari tia tui la nazi zikiwa tayari.


Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Mapishi ya Ndizi na Nyama Ya Ng’ombe-2;

a.gif Jinsi ya kupika Pilau ya Mpunga Na Nyama Ya Ng’ombe

Mpunga - 4 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali Wa Nazi Wa Adesi, Bamia Na Mchuzi Wa Kamba

Mchele - 2 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kuandaa Biriani Na Sosi Ya Nyama Ya Mbuzi

Nyama Ya Mbuzi - 1 Kilo.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kuandaa Muhogo, Samaki Wa Kuchoma Na Bamia

Mihongo 3 - 4.. endelea kusoma

a.gif Faida za kula Karoti kiafya

Asilimia kubwa tunapenda kutumia karoti katika kuunga katika mboga ya nyama na si kuila karoti kama karoti. wataalamu wanashauri ili uwe na afya bora unatakiwa ule karoti sita kwa wiki au moja kwa siku. Unaweza kula karoti ya kuchemshaa,juisi au mbichi… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutengeneza Muhogo Wa Nazi Na Samaki Wa Kukaanga

Muhogo - 3.. endelea kusoma

a.gif Mwanamke kuamka mapeme asubuhi kunapunguza uwezekano wa kupata saratani ya matiti

Kuamka asubuhi na mapema hupunguza uwezekano wa mwanamke kupata saratani ya matiti… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Mseto Kwa Mchuzi Wa Samaki Wa Nazi

Tanbihi: Kiasi ya vipimo inategemea wingi wa watu, unaweza kupunguza au kuongeza. Hiki ni kiasi cha watu 6 takriban… endelea kusoma

vichekesho-bomba-vya-siku.png

.

afya-mapishi-na-lishe.png
rafiki.gif
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.