Tafuta

πŸ‘‰ Mapishi ya MitaiπŸ‘‡βœ”

VIAMBAUPISHI

Unga wa ngano - magi 2 (vikombe vikubwa)

Hamira kijiko 1 cha chai

Sukari Vijiko 2 vya supu

Maziwa ΒΎ Magi

Siagi Vijiko 2 vya supu

Mafuta ya kukaangia kiasi

VIAMBAUPISHI:SHIRA

Sukari ΒΎ Kikombe

Maji ΒΎ Kikombe

Illiki ya unga kiasi

Zafarani kiasi

JINSI YA KUPIKA

Katika bakuli, changanya vipimo vyote pamoja na ukande unga usiwe mgumu wala laini sana uwe kiasi.
Kisha fanya donge moja na iache pahali penye joto mpaka iimuke.
Halafu weka mafuta ya kukaangia kwenye moto.
Sukuma donge hadi liwe duara sio nyembamba sana, kisha katakata kama maandazi.
Mafuta ya kisha pata moto choma mittai hukuunazigeuza hadi ziwive na kugeuka rangi.
Katika sufuria tia vipimo vya shira na iache ichemke isiwe nzito sana.
Mimina mitai kwenye shira na uzipepete, kisha weka kwenye sahani na zitakuwa tayari kwa kuliwa.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Mapishi ya Mitai).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Jiunge na Kampeni ya Amani na Upendo Yenye Lengo la kudumisha Amani na Upendo

πŸ‘‰Jua Zaidi...


"Kama vile moto unavyozimwa na maji ndivyo vivyo hivyo hasira inamalizwa na maneno ya upole."

Slide1-mabest-skull.PNG
LOOUY.gif
LLKJHGF.gif
KJHGFLOIUYT.gif
MMHGRU.gif

Expert available for Hire

Jiunge na Kampeni ya usafi na Utunzaji wa mazingira Lengo ni kuhamasisha watu kusafisha na kutunza mazingira yao kwa manufaa yao ya sasa na kwa manufaa ya vizazi vijavyo..
Soma%20Zaidi.gif
Kampeni ya wafanye watabasamu Ni kampeni endelevu ya kuhamasisha ushirikiano, umoja na kusaidiana katika jamii.
Soma%20Zaidi.gif