Mapishi ya Mchuzi wa kambale

By, Melkisedeck Shine.

picha-kali.png

Mapishi ya Mchuzi wa kambale

Mahitaji

Kambale 2
Nazi kopo 1
Nyanya kopo 1
Vitunguu 2
Curry powder 1 kijiko cha chai
Turmaric 1/2 kijiko cha chai
Binzari nyembamba ya unga 1/2 kijiko cha chai
Swaum/ tangawizi 1 kijiko cha chakula
Giligilani kiasi
Limao 1/2
Chumvi
Olive oil

Matayarisho

Loweka samaki katika maji ya moto kwa muda wa muda wa nusu saa.Baada ya hapo Saga pamoja nyanya, vitunguu, swaum na tangawizi kisha vibandike jikoni na uvipike mpaka maji yote yakauke kisha tia mafuta. Pika mpaka nyanya zitengane na mafuta kisha tia spice zote.Zipike kwa muda mdogo kisha tia tui la nazi, maji kiasi, samaki, pilipili nzima, chumvi na kamulia limao. Pika mpaka tui la nazi litakapoiva na samaki pia wawe wameiva na mchuzi ubakie kiasi. Baada ya hapo ipua kisha tia giligilani iliyokatwa na mchuzi utakuwa tayari kwa kuliwa. Unaweza kuulia kwa chochote kile upendacho. Mi hupendaga kuulia na ugali mlaiiini au na wali pia.


picha-kali.png

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Mapishi ya Mchuzi wa kambale;

a.gif Mapishi ya Maharage na spinach

Maharage yaliyochemshwa kiasi
Spinach zilizokatwa kiasi
Vitunguu maji 2
Nyanya 1/2 kopo
Swaum/Tangawizi 1 kijiko cha chakula
Curry powder 1 kijiko cha chai
Olive oil
Chumvi.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Maini ya kuku

Maini ya kuku 1/2 kilo
Vitunguu vikubwa 2
Hoho 1
Pilipil 1
Limao 1/2
Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chai
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Mafuta ya kupikia.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Firigisi za kuku

Filigisi (chicken gizzard) 1/2 kilo
Carrot iliyokwanguliwa 1
Nyanya 1/2 kopo
Vitunguu maji 1 kikubwa
Tangawizi/swaum 1 kijiko cha chai
Hoho 1 iliyokatwakatwa
Limao 1/2
Chumvi
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Turmaric 1/2 kijiko cha chai
Chilli powder 1/4 kijiko cha chai
Mafuta
Chopped coriander.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Maini ya ng'ombe

Maini (Cow liver) 1/4 kilo
Vitunguu (chopped onion) 2
Nyanya (chopped tomato) 1
Kitunguu swaum/tangawizi (ginger /garlic paste) 1 kijiko cha chai
Mafuta ya kupikia
Chumvi
Coriander
Curry powder 1 kijiko cha chai
Limao (lemon) 1/4
Pilipili (scotch bonnet ) 1.. endelea kusoma

[Kitendawili Kwako] 👉Hiki ni nini?

[Kichekesho Kwako] 👉Vichekesho vya kukuondoa mawazo leo

familia-mapenzi-na-mahusiano.png

a.gif Mapishi ya Ndizi na Nyama Ya Ng’ombe-2

Ndizi mbichi - 10-12.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Biriani Ya Kuku Wa Kuchoma Wa Tanduri

Mchele - 4 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Samaki wa kuokwa

Mackerel 2
Kitunguu swaum na tangawizi (ginger and garlic paste) 1 kijiko cha cha kula
Pilipili iliyo katwakatwa (chopped scotch bonnet ) 1/2
Limao (lemon) 1/2
Chumvi (salt) kiasi
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Coriander powder 1/2 kijiko cha chai
Mafuta 1 kijiko cha chai.. endelea kusoma

a.gif MAPISHI YA LADU

Unga - 6 vikombe.. endelea kusoma

[Msemo wa Leo] 👉Maneno na matendo

[Jarida la Bure] 👉Kijitabu cha Kilimo Bora cha Hoho

[Hadithi Nzuri] 👉Kisa cha baba mzee na mwanae

[SMS kwa Umpendaye] 👉SMS nzuri kuhusu maana ya mapenzi

vichekesho-bomba-vya-siku.png

.

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
NIMEKUMISI-MPENZI086H.JPG
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.