Tafuta

🍴 AckySHINE Afya & MapishiπŸ‘‡

.

Tafuta ndugu zako hapa Utawapata kirahisi zaidi

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Mapishi ya mboga ya mnavuπŸ‘‡βœ”

Viamba upishi

Mnavu mkono 1
Kitungu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Mafuta vijiko viubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe 1
Chumvi kiasi Β½

Hatua

β€’ Chambua mnavu, osha na katakata.
β€’ Menya, osha na katakata kitunguu.
β€’ Osha, menya na kwaruza karoti.
β€’ Kaanga karanga, ondoa maganda na saga zilainike.
β€’ Kaanga vitunguu na karoti mpaka zilainike ukikoroga.
β€’ Weka mnavu na chumvi koroga sawa sawa, funika kwa dakika 5-10 (kama ni kavu weak maji kidogo).
β€’ Changanya maziwa na karanga, ongeza kwenye mnavu ukikoroga kisha punguza moto kwa dakika 5.
β€’ Onja chumvi na pakua kama kitoweo.
Uwezekano
Weka nyanya kidogo.
Tumia tui la nazi au krimu badala ya maziwa.
Weka nyama au dagaa au Mayai badala ya Karanga.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Mapishi ya Chapati za Kusukuma kitaalamu.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Mapishi ya mboga ya mnavu).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Marafiki zako wa enzi ukiwa mdogo wanakutafuta hapa Wanataka mkumbukie furaha na raha za utotoni

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

mtu.gif

.