Mapishi ya Maharage

By, Melkisedeck Shine.

Mahitaji

Maharage (beans 2 vikombe vya chai)
Nazi (coconut milk kiasi)
Vitunguu maji (onion 1kikubwa)
Nyanya (fresh tomato 1)
Kitunguu swaum (garlic paste 1/4 kijiko cha chai)
Chumvi (salt kiasi)
Curry powder 1 kijiko cha chai
Mafuta (vegetable oil)

Matayarisho

Chemsha maharage mpaka yaive kisha yaweke pembeni. Kaanga vitunguu maji na mafuta mpaka vianze kuwa vya brown kisha weka kitunguu swaum,nyanya na curry powder. kaanga mpaka nyanya iive kisha tia maharage na chumvi kiasi. Geuza mpaka mchanganyiko uchanganyike vizuri. Baada ya hapo tia tui la nazi na ukoroge vizuri na uache lichemke mpaka liive. Baada ya hapo ipua na maharage yatakuwa tayari kwa kuliwa

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Mapishi ya Maharage;

a.gif Mapishi ya Dagaa wa nazi, nyanya chungu na bamia

Dagaa waliokaushwa (dried anchovy 2 kikombe cha chai)
Bamia (okra 5)
Nyanya chungu (garden egg 5)
Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai)
Nyanya (fresh tomato 2)
Kitunguu (onion 1)
Curry powder 1/2 ya kijiko cha chai
Turmeric powder 1/2 kijiko cha chai
Limao (lemon 1/2)
Chumvi (salt kiasi)
Pilipili (scotch bonnet 1)
Mafuta (veg oil).. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Mlenda wa bamia na nyanya chungu

Bamia (okra) 20
Nyanya chungu (garden eggs) 5
Magadi soda (Bicabonate soda) 1/4 ya kijiko cha chai
Nyanya (fresh tomato) 1
Chumvi (salt) kidogo
Pilipili 1/4.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Samaki wa kupaka

Samaki (Tilapia 2)
Nyanya ya kopo (Tomato tin 1)
Kitunguu (Onion 1)
Tangawizi (ginger kiasi)
Kitunguu swaum (garlic clove )
Mafuta (Vegetable oil)
Pilipili (scotch bonnet pepper 1)
Tui la nazi zito (coconut milk 2 vikombe vya chai)
Curry powder 1/2 cha kijiko cha chai
Binzari nyembamba ya unga (ground cumin 1/2 kijiko cha chai
Binzari manjano (turmaric 1/2 kijiko cha chai
Chumvi (salt)
Limao (lemon 1)
Giligilani (fresh coriander).. endelea kusoma

[Video Nzuri] πŸ‘‰Angalia haya Matukio yalivyofwatana

[Chemsha Bongo Kwako] πŸ‘‰Je hapa sisi tuna Macho Mangapi?

[Kichekesho Kwako] πŸ‘‰Tatizo la kukuta nywele kwenye chakula

UJUMBE-ZA-USIKU-KWA-NDUGU.JPG

a.gif Ushauri kuhusu mwili wako

Nimekutana na hiki kitabu japo nimekipitia juu juu nikaona nisiwe mchoyo Wa kukushirikisha wewe utakayependezwa na kusoma hapa Chini japo ni changamoto sana kwa sisi waongo kusoma.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Bokoboko La Kuku

Ngano nzima (shayiri) - 3 Vikombe.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Boga La Nazi

Boga la kiasi - nusu yake.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi za usoni kwa kutumia Parachichi na asali

a)Kijiko kimoja cha asali
b)Parachichi 1.. endelea kusoma

[Msemo wa Leo] πŸ‘‰Tuwe wenye Hodari na wenye uwezo

[Jarida la Bure] πŸ‘‰Picha Kali Za Kuchekesha

[Hadithi Nzuri] πŸ‘‰Kisa cha kusisimua cha mama mjane

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-WA-MSAMAHA-KWA-NDUGU.JPG
utotoni.gif

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.