Mapishi ya Kidheri - Makande

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Tiba kwa kutumia maji, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Mapishi ya Kidheri - Makande.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Jinsi ya kutengeneza Mkate wa mayai.

Mapishi ya Kidheri - Makande

By, Melkisedeck Shine.

Mahitaji

Nyama (kata vipande vidogodogo) - ½ kilo

Maharage - 3 vikombe

Mahindi - 2 vikombe

Kitunguu - 1

Nyanya - 2

Kabichi lililokatwa - 2 vikombe

Kitunguu saumu(thomu/galic) - 1 kijiko cha chai

Vidonge vya supu - 2

Chumvi - kiasi

Mafuta -1au 2 vijiko vya chakula

Namna Yakutayarisha

Chemsha mahindi mpaka yawive na maji yakauke kiasi.
Chemsha maharage pembeni nayo mpaka yawive na maji yakaukie kiasi.
Tia mafuta kwenye sufuria anza kukaanga vitunguu , thomu na vidonge vya supu koroga kiasi.
Kisha mimina nyama iliyokatwa vipande acha ikaangike kidogo na chumvi.
Nyama ikishakaangika tia nyanya funika kwa moto mdogo mpaka nyama iwive.
Kisha mimina mahindi na maharage yaliyochemshwa na maji yake kiasi koroga mpaka ichanganyike na mwisho mimina kabichi funikia mpaka kabichi iwive onja chumvi kama imekolea
Halafu malizia kukoroga mpaka ichanganyike na ikaukie kisha pakua kwenye sahani tayari kwa kuliwa.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Mapishi ya Kidheri - Makande. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Mapishi ya Bokoboko La Kuku
Ngano nzima (shayiri) - 3 Vikombe.. soma zaidi
a.gif Jinsi ya kuandaa Pilau ya sosi ya soya, nyama na mboga
Nyama isiyokuwa na mifupa - 1 ½ Lb(ratili)
Mchele wa Basmati (rowanisha) - 3 Magi
Vitunguu maji - 2
Mchanganyiko wa mboga za barafu - 1 Magi
(karoti, mahindi, njegere)
Pilipili Mbichi - 3
Pilipili mboga kijani na nyekundu - 1
Pilipili manga - ½ kijiko cha chai
Chumvi - Kiasi
Sosi ya soya (soy sauce) - 5 Vijiko vya supu
Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa - 1 Kijiko cha supu
Mchanganyiko wa bizari (garam masala) - 1 Kijiko cha supu
Kotmiri iliyokatwa - ½ Kikombe
Mafuta ya kukaangia - Kiasi.. soma zaidi
a.gif Mapishi ya Haliym Ya Nyama Mbuzi -Bokoboko La Pakistan
Nyama ya mbuzi au ng’ombe ya mafupa - 2 LB.. soma zaidi
a.gif Jinsi ya kupika Pilau Ya Nyama Ya Ng'ombe Na Nyanya
Mchele (Basmati) 3 vikombe

Nyama ya ngo’mbe 1 kg

Pilipili boga 1 kubwa

Nyanya 2 kubwa

Vitunguu maji 2 vikubwa

Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa 1 kijiko cha supu

Tangawizi 1 kijiko cha chai

Ndimu 1

Mafuta ya kupikia ½ kikombe

Mdalasini ½ kijiko cha chai

Binzari nyembamba 1 kijiko cha chai

Pilipili manga ½ Kijiko cha chai

Hiliki ½ Kijiko cha chai.. soma zaidi


a.gif Mapishi ya Dagaa wa nazi, nyanya chungu na bamia
Dagaa waliokaushwa (dried anchovy 2 kikombe cha chai)
Bamia (okra 5)
Nyanya chungu (garden egg 5)
Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai)
Nyanya (fresh tomato 2)
Kitunguu (onion 1)
Curry powder 1/2 ya kijiko cha chai
Turmeric powder 1/2 kijiko cha chai
Limao (lemon 1/2)
Chumvi (salt kiasi)
Pilipili (scotch bonnet 1)
Mafuta (veg oil).. soma zaidi
a.gif Mapishi ya Maini ya kuku
Maini ya kuku 1/2 kilo
Vitunguu vikubwa 2
Hoho 1
Pilipil 1
Limao 1/2
Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chai
Curry powder 1/2 kijiko cha chai
Mafuta ya kupikia.. soma zaidi

Makala hii kuhusu, Mapishi ya Kidheri - Makande, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

• Jinsi ya kutengeneza Muhogo Wa Nazi Na Samaki Wa Kukaanga, endelea kusoma...

• Mapishi ya Chicken Satay, endelea kusoma...

• Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nyama, Mchicha, Maharage Na Chatini Ya Pilipili Mbichi, endelea kusoma...

• Mapishi ya Bokoboko La Kuku, endelea kusoma...

• Jinsi ya kutengeneza Muhogo Wa Nazi Na Samaki Wa Kukaanga, endelea kusoma...

• Jinsi ya kupika Viazi Vya Nazi Kwa Nyama, endelea kusoma...

• Jinsi ya kuandaa Pilau ya sosi ya soya, nyama na mboga, endelea kusoma...

• Mapishi ya Haliym Ya Nyama Mbuzi -Bokoboko La Pakistan, endelea kusoma...

• Jinsi ya kuandaa Muhogo, Samaki Wa Kuchoma Na Bamia, endelea kusoma...

• Jinsi ya kuandaa Biriani Na Sosi Ya Nyama Ya Mbuzi, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Mapishi ya Kidheri - Makande, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

tafuta-ndugu.gif
UJUMBE-WA-MCHANA-KWA-NDUGU.JPG