Mapishi ya Chai ya maziwa, mandazi, uyoga na mayai

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mapishi ya tambi za kukaanga, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Mapishi ya Chai ya maziwa, mandazi, uyoga na mayai.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Bisikuti Za Kokoa (Cocoa Biscuits).

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Look for Research Consultant?

Mapishi ya Chai ya maziwa, mandazi, uyoga na mayai

By, Melkisedeck Shine.

Mahitaji

Mandazi (angalia jinsi ya kupika katika recipe ya mandazi ya nyuma)
Uyoga (mashroom kikombe 1 cha chai)
Mayai (eggs 4)
Hoho (greenpepper 1/4 ya hoho)
Nyanya (fresh tomato 1)
Kitunguu (onion 1/4 ya kitunguu)
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil)
Hiliki nzima (cardamon 4)
Masala ya chai (tea masala 1 kijiko cha chai)
Pilipili mtama iliyosagwa (ground black pepper 1/4 ya kijiko cha chai)
Maziwa (fresh milk 1 kikombe cha chai)
Majani ya chai (tea leaves)
Maji kiasi.
Sukari (sugar)

Matayarisho

Jinsi ya kupika chai, weka maziwa, maji kiasi,hiliki, masala ya chai, pilipili mtama na majani katika sufuria. Chemsha kwa muda wa dakika 10 na chai itakuwa tayari.
Jinsi ya kupika mayai, weka mafuta kiasi katika fry pan na utie vitunguu, vikaange kidogo kisha tia nyanya, chumvi na hoho. Pika kwa muda wa dakika 4 kisha tia mayai na uyaache yaive mpaka yakauke kisha geuza upande wa pili na uyapike mpaka ya ive kisha ipua.
Jinsi ya kupika uyoga, weka mafuta kidogo katika fry pan kisha tia uyoga na chumvi na ukaange mpaka uive katika moto wa wastani. Ukisha iva breakfast yako itakuwa teyari kwa kuseviwa.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Mapishi ya Chai ya maziwa, mandazi, uyoga na mayai. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Mapishi ya Chai ya maziwa, mandazi, uyoga na mayai, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ Mapishi ya Bilinganya, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Mihogo ya nazi na kuku, endelea kusoma...

β€’ Mapishi – Fish Finger, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Mkate wa sinia, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Chapati za Kusukuma kitaalamu, endelea kusoma...

β€’ Mapishi mazuri ya Uji wa ulezi, endelea kusoma...

β€’ Mapishi mazuri ya Chapati za maji, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika vitumbua inavyotakiwa, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Mandazi, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Chicken Satay, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Mapishi ya Chai ya maziwa, mandazi, uyoga na mayai, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.