Mapishi ya Borhowa

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mapishi ya Biskuti Za Jam, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Mapishi ya Borhowa.

Unaalikwa pia kusoma kuhusu; Mapishi ya Chapati za Kusukuma kitaalamu.

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Ndugu zako wanapatikana hapa

Mapishi ya Borhowa

By, Melkisedeck Shine.

Mahitaji

Daal (lentils) nyekundu au/na kijani - 1 Kikombe kikubwa

Bizari ya manjano ya unga - 1/2 Kijiko cha chai

Pili pili ya unga - 1/2 kijiko cha chai

Chumvi - Kiasi

Maji ya ndimu - 3 Vijiko vya supu

Kitunguu - 1 kiasi

Kitunguu saumu(thomu/galic) - 1 Kijiko cha chai

Bizari ya unga (cummin powder) - 1 Kijiko cha chai

Mafuta ya kukaangia - Kiasi

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

Safisha daal kwa kutoa mawe ikiwa yapo, kisha osha na roweka dakika 15 hivi.
Kisha chemsha kwa kutia maji, bizari ya manjano, chumvi, pili pili ya unga na maji ya ndimu hadi iive na kuvurujika.
Halafu chukua kisufuria na kaanga kitungu, kisha thomu na mwisho tia bizari ya pilau.
Kisha mimina mchanganyiko wa kitunguu kwenye sufuria ya daal (iliyokwisha iiva)na uchanganye na iwache motoni kidogo itokote.
Ukipenda mimina mchanganyiko kwenye blenda na usage mpaka iwe laini.
Tia kwenye bakuli na itakuwa tayari kuliwa na wali na samaki ukipenda

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Mapishi ya Borhowa. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Mapishi ya Borhowa, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ Jinsi ya kupika Mchuzi Wa Ngogwe Na Bamia, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Biriani Ya Samaki Nguru, Njegere Na Snuwbar (UAE), endelea kusoma...

β€’ Sababu za Magonjwa ya Figo na jinsi ya kujikinga, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya wali kuku wa Kisomali, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Pilau Ya Bilingani Na Kuku, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Wali Wa Kichina Wa Kamba Na Kuku, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Biriyani Ya Nyama Ng'ombe, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Wali Wa Kichina wa mboga mboga Na Mayai, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Wali Wa Zaafarani Na Kuku Wa Kupaka, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya wali mtamu Wa Nazi Kwa Maharage Na Samaki Nguru Wa Kukaanga, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Mapishi ya Borhowa, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-WA-POLE-MPENZI-7798766.JPG
UJUMBE-HONGERA-NDUGUU.JPG