Mapishi ya Bokoboko La Kuku

By, Melkisedeck Shine.

Mahitaji

Ngano nzima (shayiri) - 3 Vikombe

Kuku - Β½ (3 LB takriban)

Thomu na tangawizi iliyosagwa - 1 kijko cha supu

Pilipili manga ya unga - Β½ kijiko cha chai

Jiyrah (cumin/bizari ya pilau) - Β½ kijiko cha chai

Chumvi - kiasi

Kidonge cha supu - 1

Samli ya moto - Β½ kikombe

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika

Roweka ngano (shayiri) tokea usiku au muda wa masaa.
Katakata kuku mtie katika sufuria, tia maji kiasi viungo vyote. Mchemeshe awive na ibakie supu yake.
Toa kuku, toa mifupa na umchambue chambue vipande vidogo vidogo.
Chemisha ngano (shayiri) kwa kufunika sufuria hadi iwive na kukauka maji.
Tia supu ya kuku katika ngano (shayiri), na kuku uliyemechambua. Tia kidonge cha supu.
Tia samli nusu (bakisha nusu) kisha songa mchanganyiko uchanganye hadi ivurugike kuku na ngano (shayiri) vizuri.
Mimina katika sahani, mwagia samli imoto ilyobakia likiwa tayari.

[fumbo kwako] πŸ‘‰Imekuaje hawa watoto wakapungua?

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Mapishi ya Bokoboko La Kuku;

a.gif Jinsi ya kutengeneza Muhogo Wa Nazi Na Samaki Wa Kukaanga

Muhogo - 3.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Viazi Vya Nazi Kwa Nyama

Viazi - 3lb.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Kidheri - Makande

Nyama (kata vipande vidogodogo) - Β½ kilo.. endelea kusoma

KUMSHUKURU-MPENZI-4559KJ438.JPG

a.gif Mapishi ya Pilau ya nyama ya ng'ombe na kachumbari

Mchele (rice vikombe 3)
Nyama ya ng'ombe (beef 1/2 kilo)
Viazi mbatata (potato 3)
Vitunguu maji (onions 3)
Kitunguu swaum (garlic cloves 4)
Tangawizi iliyosagwa (ginger kiasi)
Hiliki nzima (cardamon 4)
Karafuu (clove 4)
Pilipili mtama (blackpepper 4)
Amdalasini (cirnamon stick 1)
Binzari nyembamba nzima(cumin seeds 1/2 ya kijiko cha chai)
Binzari nyembamba ya kusaga (ground cumin 1 kijiko cha chai)
Chumvi (salt)
Mafuta (vegetable oil)
Nyanya (fresh tomato 3)
Limao (lemon 1)
Pilipili (chilli 1)
Hoho (green pepper).. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutengeneza Labania Za Maziwa

Maziwa ya unga - 2 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Ugali, dagaa (wabichi) na matembele

Dagaa wabichi (Fresh anchovies packet 1)
Unga wa ugali (corn meal flour 1/4 kilo) (unaweza kutumia unga wa choice uipendayo)
Matembele ya kukaushwa (dried sweet potato leaves, handful)
Nyanya ya kopo (tin tomato 1)
Kitunguu maji (onion 2)
Limao (lemon 1/4)
Pilipili mbuzi nzima bila kukata (scotch bonnet pepper1, do not chop)
Chumvi (salt 1/2 ya kijiko cha chai)
Mafuta (vegetable oil)
Hoho (green pepper 1)
Kitunguu swaum (garlic 5 cloves)
Tangawizi (ginger 1 kijiko cha chai)
Binzari ya curry (Curry powder 1/2 kijiko cha chai).. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya viazi mbatata Vya Nazi Kwa Nyama Ya Ng'ombe

Mbatata / viazi - 2 kilo.. endelea kusoma

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

SALAMU-USIKU-23ND.JPG
KADI-PONGEZI-MZAZI.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.