AckySHINE Afya na Mapishi Β» Mapishi ya Biskuti Za Mtindi/Yoghurt

Tafuta

πŸ‘‰ Mapishi ya Biskuti Za Mtindi/YoghurtπŸ‘‡βœ”

MAHITAJI

Chenga za biskuti - 3 gilasi

Mtindi (yogurt) - 1 Kopo (750g)

Maziwa ya unga - 1 gilasi

Siagi - 10 Vijiko vya supu

Sukari - Β½ gilasi

Lozi zilizomenywa vipande vipande - Β½ gilasi

Nazi iliyokunwa - Β½ gilasi

Vanilla - 1 Kijiko cha supu

MAPISHI

Katika mashine ya kusagia (blender), tia mtindi, sukari, siagi na vanilla na usage pamoja hadi ichanganyike.
Mimina katika bakuli la kiasi.
Tia vitu vilivyobakia na uchanganye vizuri.
Mimina kwenye treya ya kuchomea na uvumbike katika oveni moto wa 350Β° hadi ishikamane na kuwa tayari.
Iaache ipoe kisha katakata vipande na tayari kwa kuliwa.

Baada yakuwa imeshaiva, ukipenda unaweza kupakiza jamu au karameli ya tayari kwa juu, kisha ukarudisha kwenye oveni moto wa juu kidogo kwa ladha nzuri zaidi

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Mapishi ya Biskuti Za Mtindi/Yoghurt).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Hapa umerahisishiwa kuonana na marafiki zako wa zamani Ni rahisi kikwelii, utafurahi mwenyewe

πŸ‘‰Jua Zaidi...


"Katika maisha, kinga kuu ya magonjwa na majanga yote ni kujikatalia au kujinyima."

Ndugu.gif

Expert available for Hire

Jiunge na Kampeni ya utunzaji wa wanyama pori Lengo ni kuhamasisha watu kutunza wanyama pori kwa manufaa ya sasa na ya baadae.
Soma%20Zaidi.gif