Tafuta

πŸ‘‰ Mapishi ya Biskuti Za MayaiπŸ‘‡βœ”

VIAMBAUPISHI

Unga 3 Vikombe

Sukari ya unga (icing sugar) 1 Kikombe

Siagi 250 gm

Mayai 3

Vanilla 2 Vijiko vya chai

Baking powder 1 Kijiko cha chai

JINSI YA KUPIKA

Koroga siagi na sukari katika mashine ya keki (cake mixer) mpaka iwe laini (creamy).
Tia mayai na vanilla koroga mpaka mchanganyiko uwe laini.
Tia unga na baking powder changanya na mwiko.
Tengeneza round upange kwenye tray utie nukta ya rangi.
Nyunyuzia sukari juu ya hizo round ulizotengeneza kabla huja choma.
Pika (bake) katika oven moto wa 350Β°F kama muda wa dakika 15 hivi huku unazitazama tazama.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Mapishi ya Biskuti Za Mayai).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Tafuta Marafiki mliopoteana zamani hapa Utawapata kwenye mtandao

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

Slide3-mliopoteana.GIF
Namna ya Kukutana na Rafiki mliopotezana Unaweza kukuta na yeye anakutafuta .

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...