.

SASA.gif

πŸ‘‰ Mapishi ya Biskuti Za KastadiπŸ‘‡βœ”

images-14.jpeg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 07 Jul 2017 15:57. [Legal & Authority]


Mapishi ya Biskuti Za Kastadi

VIAMBAUPISHI

Unga 6 Vikombe

Sukari ya kusaga 2 vikombe

Siagi 500 gm

Baking powder 1 Kijiko cha chai

Kastadi Β½kikombe

MAPISHI

Koroga siagi na sukari katika mashine ya keki (cake mixer) mpaka iwe laini (creamy).
Mimina mchanganyiko uliopiga kwa mashine kwenye bakuli.
Tia unga na baking powder na Kastadi.
Kata usanifu (design) unaopenda halafu panga kwenye sahani ya kupikia (baking tray).
Pika (bake) katika oven moto wa 350Β° F kama muda wa dakika 15 hivi huku unazitazama tazama.

Usisahau kushare posti hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HIIπŸ‘‰] Tafuta ndugu mliopoteana hapa

utotoni.gif

.

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME


SHINE-MWENYEWE.jpg

"Karibu katika blog Maarufu kwa post nzuri za kuvutia kusoma na zisizichosha. Ni wewe tuu kutembelea."