Mapishi ya Bilinganya

By, Melkisedeck Shine.

Mahitaji

Bilinganya 2 za wastani
Nyanya kubwa 1
Kitunguu maji 1 kikubwa
Swaum 1/2 kijiko cha chai
Limao 1/4
Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chai
Parpika 1/4 kijiko cha chai
Pilipili mtama 1/4 kijiko cha chai
Curry powder1/4 kijiko cha chai
Chumvi kiasi
Coriander
Olive oil

Matayarisho

Katakata bilinganya slice nyembamba kisha ziweke pembeni. Baada ya hapo kaanga kitunguu maji mpaka kiwe cha brown kisha tia swaum na spice zote, zikaange kidogo kisha tia nyanya na chumvi kiasi. Pika nyanya mpaka iive na itengane na mafuta. Baada ya hapo tia mabilinganya na ukamulie limao kisha punguza moto na uyafunike na mfuniko usioruhusu kutoa mvuke ili yaivie na huo mvuke. Baada ya hapo yaonje kama yameiva na malizia kwa kutia fresh coriander na baada ya hapo yatakuwa tayari kwa kuliwa. kwa kawaida mi hupendaga kuyalia na wali na maharage badala ya kachumari kwahiyo nakuwa naitumia hiyo kama kachumbarindugu.gif

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Mapishi ya Bilinganya;

a.gif Jinsi ya kutengeneza saladi

Tango 1/2
Kitunguu 1/2
Cherry tomato 8
Lettice kiasi
Green olives kidogo
Black olives kidogo
Hoho jekundu 1
Carrot
Giligilani kidogo.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali, samaki, bilinganya na spinach

Samaki
Spinach
Bilinganya
Nyanya ya kopo (Kopo 1)
Vitunguu maji
Vitunguu swaumu
Tangawizi
Pilipli mbuzi
Chumvi
Limao
Carry powder
Mchele
Mafuta ya kupikia
Coriander
Hiliki
Amdalasini
Karafuu.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Supu ya makongoro

Makongoro (miguu ya ng'ombe) kiasi
Limao 1 kubwa
Kitunguu swaum
Tangawizi
Chumvi
Pilipili.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutengeneza Mkate wa mayai

Slice za mkate 6
Mayai 3
Chumvi
Olive oil.. endelea kusoma

[Kitendawili Kwako] 👉'Kitanga' amefunika watoto wake

NIMEKUMISI-MPENZI086H.JPG

a.gif Jinsi ya kuondoa kitambi na kupata afya nzuri

☘☘piga chini kitambi☘☘.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Pasta za cream na uyoga

Pasta (2 na 1/2 vikombe vya chai)
Uyoga (mashroom 2 vikombe vya chai)
Cream (1 kikombe cha chai)
Mafuta (vegetable oil)
Kitunguu (onion 1)
Chumvi
Majani ya basil (dried basil leaves 1/2 kijiko cha chai).. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali Wa Kukaanga Kwa Kidari Cha Kuku (Chicken Breast) Wa Kukausha

Vipimo vya Wali:

Mchele 3 vikombe

*Maji ya kupikia 5 vikombe

*Kidonge cha supu 1

Samli 2 vijiko vya supu

Chumvi kiasi

Hiliki 3 chembe

Bay leaf 1.. endelea kusoma

a.gif Faida za matumizi ya Ukwaju kiafya

Faida kuu za ukwaju ni kama ifuatavyo:.. endelea kusoma

[Msemo wa Leo] 👉Kushindwa jambo kubwa

[Hadithi Nzuri] 👉Kisa cha baba mzee na mwanae

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

UJUMBE-UNAVYOMMISI-NDUGU.JPG
Slide2-utotoni.GIF

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.