Tafuta

🍴 AckySHINE Afya & MapishiπŸ‘‡

.

Kampeni ya Amani na Upendo Lengo ni kudumisha Amani na Upendo.

πŸ‘‰SOMA ZAIDI HAPA...

πŸ‘‰ Mapishi – Mayai Mchanganyiko, Tosti na SosejiπŸ‘‡βœ”

Karibu tena jikoni, leo tunaandaa vitafunwa kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi.

Mahitaji

Mayai 3
Soseji 2
Mkate slesi 2
Mafuta ya kupikia vijiko 2
Chumvi

Matayarisho

Piga piga mayai vizuri kwenye bakuli na weka chumvi kidogo kisha weka kikaango kwenye moto na mafuta kidogo.

Kikisha pata moto miminia mchanganyiko wa mayai na uanze kukorogo pale tu unapomiminia, endelea kukoroga hadi uone yanakuwa magumu na kuanza kuiva. Pika kwa kiwango unachopendelea na kusha epua na weka kwenye sahani.

Weka mafuta kijiko kimoja kwenye kikaango na kisha weka soseji zako na uzipike kiasi pande zote kisha epua na weka pembeni.

Weka slesi za mikate kwenye toster na zikiwa tayari unaweza weka siagi ili kuongeza ladha na mvuto.
Andaa mlo wako pamoja na juice, maziwa au chai.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Jinsi ya kutengeneza Muhogo Wa Nazi Na Samaki Wa Kukaanga.

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Mapishi – Mayai Mchanganyiko, Tosti na Soseji).πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasomeπŸ’―βœ”

Tafuta ndugu mliopoteana hapa Wanakusubiri uwatafute

πŸ‘‰JUA ZAIDI...

Slide2-utotoni.GIF

.