Mapishi – Mayai Mchanganyiko, Tosti na Soseji

By, Melkisedeck Shine.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Mapishi – Mayai Mchanganyiko, Tosti na Soseji

Karibu tena jikoni, leo tunaandaa vitafunwa kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi.

Mahitaji

Mayai 3
Soseji 2
Mkate slesi 2
Mafuta ya kupikia vijiko 2
Chumvi

Matayarisho

Piga piga mayai vizuri kwenye bakuli na weka chumvi kidogo kisha weka kikaango kwenye moto na mafuta kidogo.

Kikisha pata moto miminia mchanganyiko wa mayai na uanze kukorogo pale tu unapomiminia, endelea kukoroga hadi uone yanakuwa magumu na kuanza kuiva. Pika kwa kiwango unachopendelea na kusha epua na weka kwenye sahani.

Weka mafuta kijiko kimoja kwenye kikaango na kisha weka soseji zako na uzipike kiasi pande zote kisha epua na weka pembeni.

Weka slesi za mikate kwenye toster na zikiwa tayari unaweza weka siagi ili kuongeza ladha na mvuto.
Andaa mlo wako pamoja na juice, maziwa au chai.


elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Mapishi – Mayai Mchanganyiko, Tosti na Soseji;

a.gif Mapishi – Fish Finger

Leo tunaangalia mapishi ya fish finger ( sijui kama unaweza kusema kidole cha samaki)!, Ni mlo mzuri hasa kuliwa kama kitafunio au mboga ya pembeni… endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Chicken Curry

Leo wapendwa nitaenda kuzungumzia mapishi ya mchuzi wa kuku (chicken curry)… endelea kusoma

a.gif Mapishi – Saladi ya Matunda

Matunda ni mojawapo wa kundi la vyakula, ni muhimu sana kwa afya bora. Matunda yakitengenezwa vizuri yanavutia sana na yanakuwa ni chakula kizuri sana… endelea kusoma

a.gif Mapishi – Kisamvu cha Karanga

Mapishi yetu leo ni kisamvu cha kuchanganya na karanga. Karibu… endelea kusoma

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

a.gif Mapishi ya Ndizi Za Supu Ya Nyama Ya Ng’ombe

Ndizi - 15 takriiban.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Biskuti Za Tende Na Ufuta

Unga 3 Vikombe vya chai.. endelea kusoma

a.gif Sababu za magonjwa ya figo na jinsi ya kuondokana na janga la magonjwa ya Figo

1.Usichelewe kwenda HAJA. Kutunza mkojo kweye kibofu chako kwa muda mrefu ni wazo baya. Kibofu kikijaa kinaweza kusababisha uharibifu. Mkojo ambao unakaa kwenye kibofu huzidisha bakteria haraka.
Mara mkojo unaporudi nyuma ya njia na Figo, sumu dutu husababisha maambukizi ya figo, pia njia ya mkojo na "nephritis", pamoja na "uremia". Wakati wito asili (unahisi mkojo) fanya hivyo haraka iwezekanavyo… endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Pilau Ya Samaki Wa Tuna Na Mboga

Mchele - 2 Mugs.. endelea kusoma

[Msemo wa Leo] 👉Biashara ya maisha

[Jarida la Bure] 👉DONDOO KUHUSU TEZI DUME

[Hadithi Nzuri] 👉Kisa cha kusisimua cha mama mjane

[SMS kwa Umpendaye] 👉Meseji spesho kuhusu mama

vichekesho-bomba-vya-siku.png

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
UJUMBE-WA-MSAMAHA-KWA-NDUGU.JPG
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.