Kichekesho%20Kipya Usikose πŸ“•Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha MbogaπŸŒΏπŸ… Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

πŸ‘‰ Madhara ya kunywa sodaβœ…

SHINE-MWENYEWE.jpg

Usikose kuperuzi Blog hii kila mara unapopata muda. Nakuhakikishia kupata kitu kipya kizuri cha kusoma kila siku unapotembelea Blog hii. Baada ya kusoma kuhusu;

SOKOINE-UNIVERCITY-OF-AGRICULTURE.jpg

Leo nimekutayarishia makala kuhusu Madhara ya kunywa soda.

Madhara ya kunywa soda

Tafiti zinasema kwamba mtu mmoja anayekunywa soda moja kwa siku, anakunywa zaidi ya galoni au dumu 56 za soda kwa
mwaka.
Japokua kuna watu wamekiri kunywa hata zaidi ya soda moja kwa siku ambayo huenda wanakunywa zaidi ya hicho kipimo.

Biashara ya soda inalipa sana duniani kwani ni kinywaji cha pili
kinachoongoza kunywewa duniani baada ya maji.
Sasa ukiangalia mahusiano ya unywaji mdogo wa soda kila siku kiafya una madhara makubwa kuliko unywaji mdogo wa pombe kila
siku.

Yaani ni bora unywe chupa moja ya bia kila siku kuliko chupa moja ya soda kila siku.

Yafuatayo ni madhara ya soda ambayo yatakufanya ufikirie mara mbili kunywa soda tena.

1.Ugonjwa wa kisukari;

Kunywa soda moja ni sawa na kunywa vijiko 10 vya sukari, baada ya kunywa sukari hupanda sana mwilini na kongosho hutoa homoni ya insulini nyingi ili kushusha sukari.
Muda unavyozidi kwenda insulini huendelea kuishiwa nguvu[insulin resisitance] na hali hii husababisha kisukari.

2. Unene na kitambi;

Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Havard umegundua kwamba watu wanaokunywa soda hunenepa mara mbili zaidi ya wale ambao hawanywi hivyo kama uko busy unapunguza uzito na pia mnywaji wa soda basi unapoteza muda.

3. Upungufu wa madini muhimu mwilini;

Soda ina kemikali inayoitwa phosporic acid ambayo huzuia mwili kuchukua madini ya calcium kwenye chakula ambayo ni muhimu sana kwa ajili ya mifupa na misuli yenye afya kweye mwili wa binadamu.

4. Ugonjwa wa kansa;

Soda ina kemikali inayoitwa caffeine ambayo imehusishwa na cancer mbalimbali za mwili mfano kansa ya kongosho, kansa ya utumbo na magonjwa mengine kama presha ya damu na kansa ya matiti.

5. Huongeza sumu mwilini;

Soda haina lishe wala faida yeyote ile kwenye mwili wa binadamu hivyo huongeza kiasi kikubwa cha sumu mwilini ambacho ni hatari sana kwa afya mtumiaji.
Sumu hizo huongeza hatari ya kupata ugonjwa wa presha, na kuua figo.

6. Hubadilisha rangi ya meno;

Kila mtu anataka kuwa na meno masafi na meupe lakini baadhi ya soda zina kiasi kikubwa cha tindikali ambacho hushambulia na kuharibu meno kwa muda mfupi hivyo kama unasumbuliwa na meno basi huu ni muda mzuri wa kuachana nayo.

7. Addiction;

Soda nyingi zina tabia ya kumfanya mtu apate ulevi wa soda husika yaani kuna watu unakuta anapenda sana soda fulani na asipoinywa kwa siku atahisi kama amepungukiwa kabisa na kitu fulani mwilini.
Hii itakufanya uwe mtumwa wa mwili wako mwenyewe.

8. Huongeza kasi ya uzee;

Sumu ambazo unazipokea kwenye soda zinazeesha mtu mapema sana yani kijana mdogo wa miaka 20 hujikuta anaonekana kama miaka 35.

9. Hupunguza sana maji mwilini ;

Soda ina kiwango kikubwa cha madini ya sodium ambayo humfanya mtu abaki na maji kidogo na kwa muda mrefu atapata matatizo mengine ya kiafya kama mawe ya kwenye figo[kidney stone] na mawe kwenye nyongo ya binadamu.

10.Mwisho;

Ni vizuri kubadili mfumo wako wa maisha na kuanza kunywa vitu ambavyo haviharibu mwili yaani badala ya kunywa soda basi tumia juice (unayoitengeneza mwenyewe) ambayo ni mbadala mkubwa wa soda, lakini pia unaweza kunywa maziwa na kadhalika.

Usikubali kupitwa na πŸ“•Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKEπŸ‘§πŸ‘—πŸ‘ . KinamwelezeaπŸ”ŽMwanamkeπŸ” kinagaubagaβœ”. πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaπŸ‘ˆ

MELKISEDECK-SUA.jpg

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu; Madhara ya kunywa soda.πŸ’―βœ” Share facebook, twitter n.k bila kusahau WhatsApp, share wengine nao wafaidike!πŸ‘

ACKYSHINE.jpg

🐼 Endelea kusoma kuhusu;-πŸ™‰

.

Kichekesho%20Kipya Usikose πŸ“•Kitabu cha SIRI ZA MWANAMKEπŸ‘§πŸ‘—πŸ‘  KinamwelezeaπŸ”ŽMwanamkeπŸ” kinagaubagaβœ”πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Hoho Kilimo cha hoho kimeelezewa .
πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Matikiti Linafundisha ulimaji wa matikiti .
πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

.

images-13.jpeg

Habari msomaji wangu…?
Jina langu ni Melkisedeck Leon Shine Mwendeshaji wa blog hii.

Karibu Katika Blog yangu ya AckySHINE mahali pa kusoma makala kuhusu mada mbalimbali, vichekesho, picha, pamoja na videos

images-13.jpeg

Kamailivokawaida kila siku ninakuandalia kitu kipya cha kusoma na kukunufaisha. Endelea kutembelea Blog hii kila mara kwa ajili ya kusoma mambo mapya.

images-9.jpeg

Blog ya AckySHINE ni Blog pekee ya Kiswahili kwa posti nyingi, isiyochosha kusoma, yenye posti nyingi nzuri mapya kila saa unapotembelea. Unahakikishiwa kupata kitu kipya utakachopenda kila unapotembelea blog hii, Utapata makala, vichekesho, videos, picha n.k. Kwa sasa kuna posti Mpya 6082 kwa ajili yako, ushindwe wewe tuu kuperuzi Blog hii.

FURAHA-SHINE.jpg

Mpenzi msomaji kama ilivyokawaida kila siku ninakuandalia posti mpya nzuri za kukuelimisha na kukujuza. Nazidi kukualika kila siku kutembelea blog hii ili kupata makala mpya inayokufaa.

images-24.jpeg

Chagua unachotaka hapa…
VICHEKESHO | PICHA | VIDEOS {TV} | UJASIRIAMALI | MAHUSIANO | AFYA & MAPISHI | TEKINOLOJIA | BLOG KWA WAKATOLIKI | eBOOK SHOP | MAKTABA

images-16.jpeg

Karibu tena msomaji wangu mpendwa kwenye blog yako uipendayo kwa posti bora za kila siku. Usisite kutembelea Blog hii kila siku.

images-8.jpeg

KUHUSU BLOG HII | MAWASILIANO | ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES