Kutibu shinikizo la chini la damu kwa kutumia maji chumvi

By, Melkisedeck Shine.

Kunywa Maji yenye chumvi husaidia kutibu shinikizo la chini la damu sababu sodiamu iliyomo kwenye chumvi hupandisha juu shinikizo la damu. Usizidishe dawa hii kwa sababu chumvi nyingi kuzidi ina madhara kiafya.

Matumizi:

Changanya nusu kijiko cha chai cha chumvi ndani ya maji glasi moja (robo lita) na unywe mchanganyiko huu mara 1 au 2 kwa siku


UJUMBE-WA-MCHANA-KWA-NDUGU.JPG

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Kutibu shinikizo la chini la damu kwa kutumia maji chumvi;

a.gif Unachotakiwa kujua kuhusu Shinikizo la chini la damu

Ugonjwa wa Shinikizo la chini la damu ambao hujulikana kama hypotension kwa Kiingereza ni hali ambayo shinikizo la damu ya mtu linakuwa chini sana… endelea kusoma

a.gif Njia za kutibu chunusi bila kwenda hospitali

Unaweza kutibu chunusi bila kwenda hospitalini kama ifuatavyo;.. endelea kusoma

a.gif Matumizi ya kahawa kutibu presha ya kushuka au shinikizo la chini la damu

Kahawa husaidia kuongeza presha au shinikizo la damu. Unashauriwa Kunywa kikombe kimoja cha kahawa kunaweza pia kusaidia kupandisha shinikizo lako la damu kwa muda… endelea kusoma

a.gif Matumizi ya zabibu kavu kutibu shinikizo la chini la damu

Zabibu huweza kutumika kama tiba ya shinikizo la chini la damu kama ifuatavyo.. endelea kusoma

[Kitendawili Kwako] 👉Chakata kama kisu kikaIi

[Chemsha Bongo Kwako] 👉Je, hii familia ina watoto wangapi?

[Kichekesho Kwako] 👉Wadada lenu hili. Mimi sipo

rafiki.gif

a.gif Mapishi ya Chicken Curry

Leo wapendwa nitaenda kuzungumzia mapishi ya mchuzi wa kuku (chicken curry)… endelea kusoma

a.gif Sababu, dalili na jinsi ya kujikinga na tatizo la kiungulia kwa wanawake wajawazito

Hii ni hali inayowakumba mama wajawazito walio wengi. Inaweza kutokea kipindi chochote cha ujauzito ila mara nyingi hutokea katika umri wa mimba kuanzia miezi mitatu… endelea kusoma

a.gif Faida na jinsi ya kutumia mbegu ya Parachichi kiafya

Leo nimekuletea matumizi ya mbegu ya parachichi yenyewe yaani ile inayokuwa katikati ya tunda la parachichi… endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Bagia dengu

Unga wa dengu (gram flour 1/4 kilo)
Kitunguu kilichokatwa (onion 2)
Hoho (green pepper 1/2)
Pilipili iliokatwakatwa (scotch bonnet pepper 1/2)
Barking powder (1/4 ya kijiko cha chai)
Chumvi (salt)
Kitunguu swaum (garlic cloves 2)
Mafuta ya kukaangia (vegetable oil)
Binzari manjano (turmeric 1/4 ya kijiko cha chai).. endelea kusoma

[Msemo wa Leo] 👉Mwanzo mzuri wa kitu

[Jarida la Bure] 👉Jarida la kilimo bora cha bamia

[Hadithi Nzuri] 👉Stori inayogusa!!

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

UJUMBE-ZA-USIKU-KWA-NDUGU.JPG
KADI-SHUKRANI-MZAZI.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.