Jinsi ya kutibu chunusi kwa mdalasini na asali

By, Melkisedeck Shine.

picha-kali.png

Jinsi ya kutibu chunusi kwa mdalasini na asali

Mchanganyiko wa mdalasini na asali ni dawa nzuri ya kutibu chunusi.

Changanya asali vijiko vikubwa viwili na mdalasini ya unga kijiko kikubwa kimoja. Safisha vizuri uso wako.

Kisha pakaa mchanganyiko huo kwenye uso wako usiku na asubuhi ujisafishe vizuri uso wako.


familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Jinsi ya kutibu chunusi kwa mdalasini na asali;

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa Chumvi na mafuta ya zeituni

Mchanganyiko wa chumvi na mafuta ya zeituni (olive oil) ni dawa nyingine inayotibu chunusi. Mafuta ya zeituni yandhibiti bakteria na huondoa sumu vitu ambavyo vinafanya kuwa dawa nzuri kutibu chunusi na matokeo ya chunusi… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa Siki ya tufaa

Siki ya tufaa (Apple cider vinegar) ni moja kati ya dawa zinazojulikana katika kutibu chunusi ahsante kwa uwezo wake wa kurudishia tindikali katika ngozi. Bakteria wabaya, mafuta na uchafu mwingine wowote utaondoka juu ya ngozi yako bila kupenda ukitumia dawa hii… endelea kusoma

a.gif Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia Binzari, maziwa na asali

a)Binzari ya unga
b)Maziwa fresh
c)Asali
d)Bakuli
e)Kijiko cha chai.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Uwatu (Fenugreek)

Uwatu ni dawa nyingine ya asili inayotumika kutibu chunusi. Uwatu unaondoa sumu na maambukizi mbalimbali… endelea kusoma

[Kitendawili Kwako] 👉Mwenyewe hana uti wa mgongo

picha-kali.png

a.gif Vyakula vya kukusaidia kupunguza uzito

Kuchagua vyakula sahihi kwa mlo wako inaweza kuwa changamoto na tungependa kuamini kwamba kupungua uzito ni jambo tu la kula kalori chache na kufanya mazoezi zaidi . Hata hivyo, si mara zote zoezi hili linakuwa rahisi. Kama ni lengo lako kupunguza uzito, kuchagua chakula gani ule ni muhimu kama kuchagua kiasi gani cha chakula ule… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutengeneza Cookies Za Tende Na Tangawizi

Unga vikombe vikombe 4.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya chipsi

Viazi (potato) 1/2 kilo
Mafuta ya kukaangia (veg oil)
Chumvi.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Roast ya biringanya na mayai

Mara nyingi biringanya hutumika kama kiungo cha nyongeza katika mchuzi. Hata hivyo, kiungo hiki kinaweza kupikwa chenyewe na kutoa mchuzi wenye ladha ya kipekee… endelea kusoma

[Msemo wa Leo] 👉Uzuri na ubora

[Jarida la Bure] 👉Picha Kali Za Kuchekesha

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

.

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
mtu.gif
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.