Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia papai

By, Melkisedeck Shine.

picha-kali.png

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia papai

Dawa nyingine madhubuti ya chunusi ni papai. Tunda hili ni moja ya matunda yanayotumika kwa ajili ya urembo hasa kwa wanawake.

Chukua papai na uchanganye na asali kidogo, likoroge kidogo na ujipake sehemu yenye chunusi moja kwa moja kwa dakika 15 hivi hivi kisha jioshe uso wako na maji ya moto kisha malizia na kujisafisha na maji baridi mra baada ya kutumia maji ya moto.

Fanya zoezi hili mara 2 mpaka 3 kwa wiki.


Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia papai;

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia mvuke

Mvuke husaidia kusafisha ngozi. Ni rahisi sana kutumia mvuke kutibu chunusi… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia baking soda

Moja ya sababu za kutokea chunusi katika ngozi yako ni kuwepo kwa takataka au uchafu juu ya ngozi yako na njia rahisi ya kusafisha taka hizo ni kwa kutumia baking soda hivyo kuifanya ngozi ipumuwe vizuri… endelea kusoma

a.gif Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia asprin

.. endelea kusoma

a.gif Kutibu chunusi kwa ute mweupe wa yai

.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Ndizi Mbichi Za Nyama Ng'ombe

Ndizi mbichi - 10.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Mishkaki ya kuku

Kidali cha kuku 1 kikubwa
Swaum,tangawizi 1 kijiko cha chai
Limao 1/2
Pilipili ya unga 1/2 kijiko cha chai
Curry powder 1/2 kijiko
Paprika 1/2 kijiko cha chai
Hoho jekundu 1/2
Hoho la njano 1/2
Kitunguu 1/2
Chumvi
Olive oil.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali Wa Nazi Wa Adesi, Bamia Na Mchuzi Wa Kamba

Mchele - 2 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Dondoo muhimu kwa Afya yako unapostuka usiku

Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha… endelea kusoma

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
KADI-POLE-MZAZI.JPG
picha-kali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.