Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia kitunguu swaumu

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandalia makala inayopendwa kuhusu; Mapishi ya Haliym Ya Nyama Mbuzi -Bokoboko La Pakistan, sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia kitunguu swaumu.

Endelea kefurahia makala nzuri kila siku unapotembelea tovuti hii.

Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia kitunguu swaumu

By, Melkisedeck Shine.

Kitunguu swaumu hujulikana kama kitu cha kushangaza katika tiba huko mashariki ya mbali, Kitunguu swaumu ni maajabu ya Mungu mwenyewe.

Kina nguvu za kuua bakteria mbalimbali na kuzuia magonjwa ikiwemo kutibu chunusi. Kuna namna 2 za kutumia kitunguu swaumu kutibu chunusi; namna ya kwanza ni kukitumia kitunguu swaumu kwenye vyakula vyako unavyopika kila siku, namna ya pili ni kukitwangwa kitunguu swaumu na kukipaka moja kwa moja katika sehemu yenye chunusi.

Ukiacha harufu yake isiopendwa na wengi, kitunguu swaumu kinaweza kukupa afya na urembo unaouhitaji.

Kitunguu swaumu husaidia kupunguza ukubwa wa chunusi. Hata hivyo uwe makini kwani kitunguu swaumu kinaweza kuunguza ngozi yako usipokuwa makini na ili kuepuka hili jaribu kuchanganya kidogo na maji baada ya kukitwanga ili kupunguza makali yake.

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia kitunguu swaumu. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Makala hii kuhusu, Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia kitunguu swaumu, imeonekana kupendwa na wasomaji wengi. Makala nyingine zinazopendwa ni kama hizi zifuatazo;

β€’ Mapishi ya Wali Wa Nyanya Wa Kukaanga, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Biskuti Nyembamba (Wafer Bar) Za Chokoleti Na Njugu, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya Kujitibu kwa njia ya matunda, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia barafu, endelea kusoma...

β€’ Njia bora za kumfanya mtu aache kuvuta sigara, endelea kusoma...

β€’ Jinsi ya kupika Eggchop, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Viazi vitamu na kachumbari, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Bagia dengu, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya bagia na chatney ya machicha ya nazi, endelea kusoma...

β€’ Mapishi ya Kachori, endelea kusoma...

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia kitunguu swaumu, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

A Jinsi ya kupika Wali Wa Sosi Ya Tuna, soma zaidi...
A Mapishi ya Ndizi mzuzu, soma zaidi...
A Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Nyama, Mchicha, Maharage Na Chatini Ya Pilipili Mbichi, soma zaidi...
A Mapishi ya Sambusa za nyama, soma zaidi...
A Jinsi ya kutengeneza Biskuti Za Tangawizi, soma zaidi...
A Jinsi ya kuondoa kitambi na kupata afya nzuri, soma zaidi...
A Soma hii Kabla hujafikiria kula nyama ya nguruwe tena, soma zaidi...

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.