Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia barafu

By, Melkisedeck Shine.

Barafu inaweza kuzipunguza chunusi zionekane ni ndogo na kupunguza madhara yatokanayo na chunusi.

Namna ya kutumia barafu kutibu chunusi ni rahisi na haraka zaidi. Chukua kipande cha barafu na ukipitishe sehemu zilipo chunusi mara kadhaa kwa dakika 3 hadi 5 hivi.

Kumbuka kusafisha vizuri uso wako kabla ya kuanza kupitisha hii barafu kwenye uso wako.

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia barafu;

a.gif Njia bora za kumfanya mtu aache kuvuta sigara

Ni kazi ngumu kidogo kuacha uvutaji wa sigara. Uvutaji ni tishio kwa maisha yetu. Yawezekana hufahamu kwamba nusu ya watu wanaovuta sigara watakufa, ikiwa ni matokeo ya athari kilevi hicho. Sigara inasababisha robo ya vifo vyote vya kansa nchini Uingereza kila mwaka… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Eggchop

Mayai yaliochemshwa 4
Nyama ya kusaga robo kilo
Kitunguu swaum
Tangawizi
Limao
Chumvi
Pilipili
Breadcrambs
Carry powder
Binzari nyembamba ya unga
Yai moja bichi
Mafuta.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia kitunguu swaumu

Kitunguu swaumu hujulikana kama kitu cha kushangaza katika tiba huko mashariki ya mbali, Kitunguu swaumu ni maajabu ya Mungu mwenyewe… endelea kusoma

[Kitendawili Kwako] πŸ‘‰Nina blanketi langu kubwa huwezi kulikunja

[Fumbo Kwako] πŸ‘‰Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?

[Kichekesho Kwako] πŸ‘‰Staili nyingine za michepuko ni shida

Slide2-utotoni.GIF

a.gif Faida za kunywa juisi ya ubuyu

Mungu ameumba miti na mimea kwa ajili ya binadamu. Kila mti au mmea una makusudio yake. Mbuyu ni miongoni mwa miti yenye faida nyingi na maajabu mengi. Vitu vyote vilivyomo kwenye mbuyu vinatumika kama chakula au dawa kwa faida ya binadamu… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kutengeneza Muhogo Wa Nazi Na Samaki Wa Kukaanga

Muhogo - 3.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Roast ya biringanya na mayai

Mara nyingi biringanya hutumika kama kiungo cha nyongeza katika mchuzi. Hata hivyo, kiungo hiki kinaweza kupikwa chenyewe na kutoa mchuzi wenye ladha ya kipekee… endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Mgagani

Mgagani mkono 1
Mafuta vijiko vikubwa 4
Karanga zilizosagwa kikombe Β½
Maji kikombe 1
Kitunguu 1
Karoti 2
Maziwa kikombe 1
Chumvi kiasi.. endelea kusoma

[Msemo wa Leo] πŸ‘‰Thamani ya faida

[Hadithi Nzuri] πŸ‘‰Stori inayogusa!!

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

UJUMBE-WA-MCHANA-KWA-NDUGU.JPG
UJUMBE-WA-POLE-MPENZI-7798766.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.