🍴 Blog ya Afya & MapishiπŸ‘‡

.

303

Kichekesho%20Kipya Kutana na wale mliosoma pamoja Bado wanakumbukia urafiki wa Kishule shuleπŸ‘‰Soma zaidi hapaKizuri

πŸ‘‰ Jinsi ya kutengeneza Rock-cakes Za Njugu Na Matunda MakavuπŸ‘‡βœ”

Mahitaji

Unga - 4 Vikombe

Sukari -10 Ounce

Siagi - 10 Ounce

Mdalasini ya unga - 2 vijiko vya chai

Matunda makavu/njugu (kama lozi, Zabibu, maganda ya chungwa, Cherries na kadhalika - 4 ounce

Maziwa ya maji - 4 Vijiko vya supu

Maandalizi

Chukua siagi na sukari koroga na mixer mpaka iwe kama cream.
Tia vanilla mdalasini, tia yai moja mix tena endelea kuongeza yai lingine mpaka umalize yote, changanya mpaka iwe laini kama sufi (fluffy)
Tia unga na baking powder na dried fruits, changanya na mwiko.
Chota mchanganyiko na kijiko cha soup weka kwenye treya ya kupikia tandaza na uma ili upate matundu juu ya biskuti.
Pika (bake) kwenye oven lenye moto wa 375 F. kwa muda wa dakika 15 hivi huku unazitazama tazama.

nn.gif

Usisahau kushare posti hii Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HIIπŸ‘‰] Mapishi ya Wali wakukaanga

tafuta-rafiki.gif

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif