Jinsi ya kutengeneza Pilau Ya Kuku

By, Melkisedeck Shine.

Mahitaji

Mchele wa basmati - 3 vikombe

Kuku - ½

Viazi - 4

Vitunguu - 2

Kitunguu saumu(thomu/galic) iliyosagwa - 2 vijiko vya supu

Binzari ya pilau nzima - 1 Kijiko cha chakula

Binzari ya pilau - ½ kijiko cha chai

Pilipili manga nzima - ½ kijiko cha chai

Karafuu nzima - 8

Iliki nzima - 6

Mdalasini nzima - 5 vijiti

Pilipili mbichi iliyosagwa - 2

Chumvi - kiasi

Mafuta ya kupikia - ¼ kikombe

Namna Ya Kutayarisha Na Kupika:

Osha mchele na roweka kwa muda kutegemea na aina ya mchele.
Kata kuku vipande upendavyo, safisha kisha mchemshe kwa chumvi, pilipili iliyosagwa, thomu na tangawizi.
Akiwiva kuku, mtoe weka kando, bakisha supu katika sufuria.
Katika sufuria, kaanga vitunguu hadi vigeuke rangu ya hudhurungi.
Tia thomu na tangawizi na binzari zote kaanga kidogo
Kisha tia viazi kanga kidogo kisha tia kisha tia vipande vyako vya kuku na supu acha ichemke kidogo kisha tia maji ukisie kutokana na mchele unaotumia.
Mwisho tia mchele koroga uchanganye na vitu vyote acha ichemke kiasi kisha funika na punguza moto mpaka uive (huku ukiugeuzageuza)
Ukishakuwa tayari pakua kwenye sahani tayari kwa kula na salad na pilipili.


KADI-SALAMU-MCHANA-JION.JPG

Endelea kusoma makala hizi zinazofanana na hii ya, Jinsi ya kutengeneza Pilau Ya Kuku;

a.gif Mapishi ya Wali Wa Nazi Kwa Mchuzi Wa Samaki Na Rojo La Bilingani Na Viazi/Mbatata

Mpunga - 4 vikombe.. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Ugali Kwa Mchuzi Wa Kamba Wa Nazi, Kisamvu Na Kachumbari Ya Papa Mkavu

Maji - 4 vikombe kiasi inategemea na unga wenyewe… endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali Wa Mboga Na Mchuzi Wa Kuku wa Tanduri

Mchele basmati - 3 magi (kikombe kikubwa).. endelea kusoma

a.gif Mapishi ya Wali, Mchuzi Wa Nazi Wa Samaki Nguru

Mchele - 3 vikombe.. endelea kusoma

[Kitendawili Kwako] 👉Chakata kama kisu kikaIi

[Kichekesho Kwako] 👉Kichekesho cha mwalimu na wanafunzi

UJUMBE-WA-POLE-MPENZI-7798766.JPG

a.gif Jinsi ya kupika Roast ya biringanya na mayai

Mara nyingi biringanya hutumika kama kiungo cha nyongeza katika mchuzi. Hata hivyo, kiungo hiki kinaweza kupikwa chenyewe na kutoa mchuzi wenye ladha ya kipekee… endelea kusoma

a.gif Mapishi ya tambi za kukaanga

Kupika tambi ni kama ifuatavyo.. endelea kusoma

a.gif Mchanganyiko wa asali na mdalasini una faida hizi

Mchanganyiko wa mdalasini na asali unasaidia katika mambo ya aiana tofauti tofauti kama ifutavto:.. endelea kusoma

a.gif Jinsi ya kupika Baklawa Za Pistachio Na Lozi

Philo (thin pastry) manda nyembamba - 1 paketi.. endelea kusoma

[Picha Nzuri] 👉Ujumbe kwa wakina dada

[Msemo wa Leo] 👉Matendo ya mtu

[Hadithi Nzuri] 👉Stori inayogusa!!

FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.

NIMEKUMISI-MPENZI086H.JPG
UJUMBE-MSAMAHA-35JHF32.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.