Tafuta

.

👉 Jinsi ya kutengeneza Nangatai👇✔

MAHITAJI

Unga wa ngano - 2 - 2 ¼ Vikombe

Siagi - 1 ½ Kikombe

Sukari - 1 Kikombe

Yai - 1

Vanilla -Tone moja

Baking Powder -kijiko 1 cha chai

Chumvi - Kiasi kidogo (pinch)

Unga wa Kastadi - 2 Vijiko vya supu

MATAYARISHO

Changanya vitu vyote isipokuwa unga.
Tia unga kidogo kidogo mpaka mchanganyiko uwe sawa.
Kisha fanya duara ndogo ndogo uzipange kwenye treya na utie rangi katikati.
Halafu zichome katika moto wa 300°F kwa muda wa dakika 20 - 25 na zisiwe browni .
Kisha panga kwenye sahani tayari kuliwa na chai.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Madhara ya kula yai bichi.

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Jinsi ya kutengeneza Nangatai).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Kutana na wale mliosoma pamoja Bado wanakumbukia urafiki wa Kishule shule

👉SOMA ZAIDI HAPA...

Ndugu.gif

.